Michepuko miwili imeweka status zinazofanana

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,378
Niingie front kwenya mada...

Ni hivi michepuko yangu niliipata baada ya kufanya mchakato na uchambuzi wa kutosha ikiwemo kufanya vetting na kujiridhisha kwamba hawafahamiani na hawatafahamiana na wife wangu...

Sasa leo nmejipumzisha kukata hangover ya jana ..nikaingia whatsapp ile naview status kwenye whatsapp..nikapigwa na butwaaa...

Yaani siamini michepuko yangu yote si meweka status ya picha ya whatsapp zinazofanana..
Ni status za kumuwish wife happybday...

Cha ajabu zaidi wameweka wote picha tatu ambazo zimeenda kwa mtiririko unaofanana...
Yaani hapa ata sielewi..
Wadau nifanyeje..mana nahisi kunakitu hapa kinataka kutokea...
 
wameshajuana hao sasa wanajaribu kucheza na akili yako baada ya hapo subiri kuna cha ajabu zaidi kinakuja....sasa inabidi ulianzishe ww kabla yao piga chini wote kwanza
 
huenda lao lilikuwa moja na walikuwa wanakuona boya tu, na huenda walikuchuna hela ya kutosha wameamua tu kukuonesha kuwa wanafahamiana na wanakuchora tu.

kuna kitu sijaelewa, picha za mke wako wamezipata wapi?
 
Na mm sijaelewa
 
Swali la msingi kabisa hili...
 
Back
Top Bottom