kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
Eti haka kautaratibu mkiwa mmemisianaa na mpenzi mkikutana mnaanza kunyonyana denda weee tena kwa mda kabla ya kufanya kitu fulani kilicho wafanya mkutane hapo.
Sasa mimi nimepata wazo hivi kwanini lile denda la mpenzi wako asikuwekee tuu kwenye kikombe hata iwe robo au nusu ili ulinywe lote mara moja tu ili kuokoa mda kwa sababu kuna mda unaweza chelewa masuala ya muhimu kwa sababu ya kulinyonya tu hilo denda kwa mwenzio.
Na kama kunyonyana denda ndo ishara ya kupendana basi likiwekwa kwenye kikombe nahisi ndo yatakuwa mapenzi ya kweli.
=============
Kalenga kidamali