Tafakuri juu ya michango ya harusi.

Tafakuri juu ya michango ya harusi.

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,643
Reaction score
4,185
[emoji121]
WAKUU,

NIMETAFAKARI SANA,

HIVI NI NANI ALIYEANZISHA HUU UTARATIBU WA KUWA UNALIPA ELFU 50 MCHANGO WA HARUSI,
HALAFU UNAKULA KIPAPATIO CHA KUKU TU NA MAJI MADOGO!!!

WAKATI HIYO HELA UNANUNUA DEBE ZA UNGA WA DONA WA KULA MWEZI MMOJA NA WIKI TATU!!!

HUU SI WIZI KABISA HUU WAKUU?!?!

MAMBO MENGINE TUTAFAKARI UPYA JAMANI!!!

MAANA'KE KUNA DADA SIJAMPA MCHANGO WA SENDOFF YAKE
KANINUNIA KAMA VILE NIMEMCHOMA MOTO KWENYE "BUMUNDA".

[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Bado una hela za kuchangia harusi? Nachangia wagonjwa, wasiojiweza, wazee, watoto na walemavu. Yaani mtu anaoa mwanamke hlf anichangishe mihela akasherehekee afurahie kumpokea mkewe mie inanihusu nini? Waache waoane
 
Haya mambo yanakera sana kwa sasa. Kwa nn tusifanye kitu kwa kadiri ya uwezo wetu? Mi nina kadi za harusi kama 5 hivi.
Kila mmoja sio chini ya laki. Na zote ziko karibu karibu. Yaani unajikuta kwa mwaka mmoja umechangia pesa nyingi za harusi na sherehe mbali mbali zaidi ya ada ya mtoto shule nzuri ya private.
Tatizo la kujikuta tunahitaji pesa nyingi za harusi ni kukodi mi ukumbi mikubwaaa ya gharama za juu. Na kuonyeshana kuwa harusi ya flani ilikuwa baabkubwa.
Mpaka sasa jamaa zangu kadhaa hatuko vizuri baada ya kuamua kuchangia kiasi kisichozidi elfu thelathini tu kwa harusi.
Huo ndio utakuwa utaratibu wangu kuanzia sasa.
 
NA HUU UTAMADUNI NI MIRADI YA WATU HAPA MJINI.

KUNA JAMAA KANIALIKA KWENYE KIKAO CHA KAMATI YA HARUSI YAKE KANISISITIZA SANA NIHUDHURIE-

NIMETOKA MBIO SIO ZA NCHI HII,
MAANA'KE UJINGA WA KUHUSISHWA KWENYE KAMATI LAZIMA UDUFULIWE HELA!!!
 
Mwenzako nipo kwenye process ya kubadili no kwa mda.....mana social ntwrk zote nimeshafuta.bro mtoto wa bi mkubwa anaoa January eti tumeambiwa ndugu mchango laki 3,tena tumepewa mwezi mmoja.like seriously watu wanaenda kutianani wenyew kihalali uko alafu wanataka kunishurutisha mimi.

Gadamnt nine mute as if am nat existing on earth anymore
 
Mi mchango wa mwisho ni elfu 30, Sitoi zaidi ya hapo ukifanya masihara kutoa kwa kila mchango 100k kwa mwaka unaweza tumia million kuchangia harusi tu
 
Kipindi cha kikwete hapakuwepo na kulalamikia michango kiasi hili.
 
Huu ni utaratibu unaorndekezwa na baadhi ya viongozi wa dini wasio na hekma.Laiti ungekemewa makanisani bila shaka usingefikia hatua hii ambapo baadhi ya watu wanawekeana madonge na kulipiziana visasi kisa eti hujachanga kwenye arusi yake.Baadhi ya wachungaji wanaona kutokuchanga ni dalili ya umaskini,na maskini huonekana ni mtu aliyelaaniwa,hana baraka,sasa na watu kuikimbia laana inabidi wajinyime sana!Utamaduni huu unapaswa kukemewa vikali.Kama mtu ana arusi aandae kwa pesa yake na aalike watu,wakipenda wamzawadie baaas!
Michango iwepo kwa ajili ya wanafunzi na wagonjwa na mambo ya lazima tu
 
Hili swala inabidi serikali iingilie kati iweke mchango elekezi manake mtaani ishakua kero sasa
 
Mkuu seneta wewe na mwenzako chingi soon nawapa kadi. Single 70,000
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wananunaga kweli aise hata namba ya simu hua wanafuta ..ni upungufu wa akili tu achana nao mchango ni chochote ulichonacho na ukatoa kwa moyo..
 
Mimi huwa natoa tu michango ya harusi/sendoff kwa kuwa nami najua mwakani nikihitaji kuoa nami watanichangia kwenye harusi yangu.

Harusi ni inshu kubwa, huwezi kuihimili peke yako.
Tenda wema uende zako nawe hujui yupi atakayekutendea
 
Maana nzima harusi ni kupata kibali mbele ya Mungu tu haya maharusi ni kujitakia gharama ambazo hazina maana
 
Back
Top Bottom