Naenda ukweni kuharibu

Naenda ukweni kuharibu

Mhdiwani

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
650
Reaction score
712
Habari za ujenzi wa Taifa wadau Wa jukwaa letu pendwa,,
Moja kwa moja niende kwenye mada,
Hivi karibuni ninaenda ukweni kutoa mahari lkn tatizo ninaloona Mimi ni kuhusu mipango ya ndoa yani kila nikipiga hesabu haiji naona ntachelewa kuoa kutokana na uchumi ulivyo

Sasa wadau nipeni ushauri nikienda nimtiroshe au niombe mungu anase mimba ili nisusiwe
Karibuni wadau ushauri wenu ni muhimu
 
Unaenda kuharibu ukweni.

Angalia wasije kukuharibu wewe tu
 
Kama sijaelewa vile, hivi mtu ukimpa ujauzito unasusiwa kumuoa? Syo kwamba ndio utalazimishiwa ata kwa deni la mahari??
 
Oa tu mkuu. Riziki mafungu saba... Ukipitisha bakuli kwa ndugu na jamaa huwezi kosa pesa ya kufanyia karamu!
 
Swala la kuoa ni wewe na mpenz wako mnakubaliana swala la harusi halina maana na kama mnataka cheti nenda bomani mkafunge ndoa mpate cheti maisha yaendelee

Ila punguza kutumia nguvu kwa mambo yanayo hitaji akili
 
We ukisikia kuoa ulidhan ni michezo ya kidedea na kudimba dimba.
 
Dah...Tanganyika yangu !
tapatalk_1511580414361.jpeg
 
Back
Top Bottom