Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Ukitaka kusalimika mapema msimu huu wa sikukuu na mizinga ya hapa na pale fanya hivi!kama wewe ni member hapa Jf na ulizoea kwenda Pm za wadada wa hapa Jf badilisha ID kabisa,kama unatumia fb ukitumiwa sms hata ile ya Hi!usijibu kabisa potezea,ikiwezekana badilisha kabisa namba ya Simu kwa wiki hz mbili zilizobakia ili uepuke mizinga!usije ukaiona January ina siku 90