Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

KWA NINI WANAWAKE WENGI SIKU HIZI HAWAOLEWI? Kwa sababu WENGI HUPISHANA NA WAUME ZAO Kwa mfano : 1.Mwanamke anapigiwa simu kwa namba ngeni, anauliza namba yangu umeitoa wapi? Usiponiambia...
4 Reactions
38 Replies
7K Views
Natafuta msichana wa under 25 Vigezo: Awe mrembo Asipende hela Mwenye shape ya wastani flat screen siwataki Elimu sibagui hata la nne B Njoo Pm N.b asiwe na wivu hata kidogo
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Naamimi mko salama hapa Niende kwenye mada ili nitoe dukuduku langu. Wengi hasa huwa ni chini ya miaka 30, na sijui kwa nini ila hata 30s wapo pia. Pale unapoingia chumbani na msichana...
4 Reactions
44 Replies
9K Views
Nimejaribu kuishi na hawa Dada zetu walijaliwa makalio makubwa yaani matako makubwa,asilimia kubwa huwa hawana akairi kabisa nahisi akiri zao zipo matakoni,kwani hapa ninapoishi kuna madad wawili...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu wakuu me ni mvulana nina miaka 21 kuna binti kaniacha bhana ana miaka 19 na kaniacha hatuna hata wiki tayari ana date na mtu mwingine ofcoz sijawahi kusex nae...
4 Reactions
77 Replies
11K Views
Wapenzi, Naona mwaka unayoyoma huo; Kipindi hiki cha sikukuu nimekuja kutembelea Daslam nami nione utamu wa jiji.Ilikuwa nikae mpaka mwakani ila kwahili nililoliona basi narudi kwetu bara...
8 Reactions
48 Replies
6K Views
A NEW ELEMENT ADDED TO PERIODIC TABLE; Name; Girl Symbol; Gl Form block element Physical properties; 1. boils at any time 2. melts when handled with love and care 3. very bitter when...
0 Reactions
2 Replies
667 Views
Wanaume punguzeni papara mkiwa katika Tendo la Ndoa. Hii tabia inakera sana utakuta mwanaume mmefika ndani ya chumba ili mfanye yenu, hizo paparaaa sasa... Mara ashike hapa aache afanye hili...
18 Reactions
282 Replies
29K Views
Una ujauzito wangu halafu kutwa nikirudi tu kazini tena nikiwa nimejichokea unaanza kunituma nikakununulie miguu ya kuku na nikikuambia sijaikuta au hamna unaniambia nikununulie udongo na huo nao...
4 Reactions
66 Replies
9K Views
Mimi ni kijana wa kiume nna miaka 27 Nipo vzur kiuchumi Sichagui dini/kabila Asizidi miaka 22 Awe natural asiwe amejichubua Awepo dar Baada ya kuumizwa sana nahitaji kuoa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau kama heading inavyojieleza hapo, nipo kwenye dilema kubwa sana baada ya mke wangu kunijulisha kuwa ni mjamzito. Kutokana na matatizo ya uzazi tuliyonayo specialist akashauri apigwe...
12 Reactions
153 Replies
14K Views
Ni kisa cha ukweli kabisa na hii ndoa sasa IPO mashakani.Hivi nachokifanya huyu mkwe ni sawa au yupo nje maadili. Ni hivi huyu mama ana mtoto wa kiume ambae ameoa mwaka 2005 katika miaka ya elfu...
7 Reactions
163 Replies
12K Views
Ninafurahi kuwa sehemu ya jukwaa hili lililosheheni wataalamu, washauri waliojaaliwa hekima na busara. Naamini kupitia jukwaa hili pasi nashaka nitaongezewa utambuzi kiakili na kifikra. LENGO...
3 Reactions
67 Replies
5K Views
Nashangaa sana kwanini wanawake huwa sometimes hamuoni mbali. Kuna jamaa mmoja rafiki wa karibu sana miaka mitatu iliyopita alitokea kumpenda mdada mmoja hivi sasa jamaa alikuwa yupo tayari kwa...
10 Reactions
61 Replies
5K Views
wakuu habar zenu poleni na majukumu swali langu liko hivi, hivi urafiki unatafutwa au kuombwa au unakuja automatically. Msaada please samahan kwa usumbufu
0 Reactions
5 Replies
766 Views
Kama ilivyokawaida katika familia nyingi za kiafrika hutokea baba wa familia kuwa na nyumban ndogo,hii ilitokea miaka kadhaa iliyopita mzee alioa nyumba ndogo ,bahat nzuri huyo step mother alikuwa...
1 Reactions
17 Replies
9K Views
Habari, mimi nipo maeneo ya temeke, yombo, natafuta rafiki wa kike yeyote anaejisikia yu huru kuwasiliana na mie. Asante na karibu....
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Natumai mu wazima wanajukwaa. Ilikuwa ni mapema jana, nilijitokeza kwenye jukwaa hili nikiomba ushauri wa nini cha kufanya. Inshahallah wengi wamejitokeza kutoa ushauri na mawazo yao mazuri. Zidi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina miaka nane ya ndoa, sijawahi kumsaidia mke wangu kumenya hata ndizi. Sasa leo tumeshinda pamoja nyumbani nikawaambia wachambue mchele, waandae nyama na kukata kata vitu vingine kisha mimi...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Umepanga miadi na mtu toka jana. Mshakubaliana mtakutania wapi. Siku na muda ufikapo wewe unaheshimu muda na miadi yako na unafika sehemu ya makutano yenu katika muda mliokubaliana. Mwenzio...
31 Reactions
300 Replies
24K Views
Back
Top Bottom