MmmhNo.4 afathali kidogo tutavumiliana tukijaribu kurekebishana[emoji12]
Kumbuka mmbea ni mchepukaji pia, mara kakuambukiza kisonono Mara kaja na ngeu kafumaniwa kadundwa, mara vikesi haviishi nyumbani kusutwa kila siku.Mchawi atanitoa kafara, mwizi ataiba ndani maendeleo hakuna, mchepukaji ataniletea magonjwa na mimba zisizo zangu.. Bora mmbea!!
Huyo tupa kule...ataleta ukimwi nyumbanAnalo ila ni mchepukaji hafai
Hamna mwenye sifa ya kuoa hapa1:Mchawi,mnyekekevu na ni mpole sana
2:Mwizi,mcheshi na mkarimu sana
3:Mmbea na mwenye huruma sana
4:Mchepukaji,mmbea na mchapa kazi sana.
Huwez kutumia kondom kila siku lazima siku nyingine upige kavu aiseeee hapo ndio umekwisha...Hapo sasa, akitumia condom je?