The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,076
Wakuu kwa muda wa wiki moja unusu nimesafiri toka Bukoba na kurudi hadi Kahama kwa miguu.
Huyu binti atakua na pepo la ngono,muda wote toka aje geto anataka mchezo tu wiki moja na nusu,siku kumi ni ngono tu,yani muda mwingine natamani kutorudi nyumbani jioni.
maana nikifika tu anataka mchezo,usiku kucha mchezo,asubuhi yani ni kero tupu,mchana text za kichokozi watsap akiwa na kufuli au bila kufuli.
Nimetembeaje hadi bukoba kwa miguu,wataalam wanasema sina uhakika goli moja=35 kilometers,kwa wastani huyu binti kwa siku napiga goli 5xsiku 10 ambazo nimekua nae=50 goals.
50 goal x 35 kilometers =1750 kilometers. Kwa takwimu za sumatra kutoka Dar hadi Bukoba ni kilometer 1400 hivi,zinazobaki ni kutoka Bukoba kuja Kahama.
Huyu binti namkimbia,ataniua jamani.