Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,085
- 165,859
Mama mkwe wangu ana karibia miaka hamsini. Yeye hakuwahi kuolewa maishani mwake.
Tunaishi mkoa mmoja ila maeneo tofauti. Sasa ana ujauzito na kamwambia bintiye (mke wangu) kuwa ile mimba ni yangu. Eti nilimbaka.
Binti anataka na anataka tugawane mali. Msaada please, maana mwenyewe nimeelemewa na mawazo.