Wamawake wengi ni madebe matupu (tablalasas), siwakashifu bali najarib kutumia lugha appropriate na ninachokimaanisha. wapo waliojaaliwa uelewa lkn pia akili zao zipo tu usoni na wakiinama...
Habari za mapumziko wakuu,
Uzi niliokuja nao leo ni je umewahi kutatuliwa matatizo yako na mtu usiyemjua au ata unayemjua kwa masharti ya kutoa penzi?
Hasa wanawake ni wahanga katika hili.
Ebu...
Ijumaa mubaraq to all muslim jamia and JF great thinkers as well.
Back to the topic, kuna kitu huwa sifurahishwi nacho ktk maisha yetu ya kila siku, kwa wale watumiaji wa public transport...
Mwaka mzima kijijini watu wako bize kulisha majani mbuzi na ng'ombe wewe huku mjini mwaka mzima uko bize kulisha mademu chips soda na baga halafu unakuja kwenye sikukukuu ya mwaka mpya unataka...
Ndoa nyingi zinayumba sababu wanaume wengi hatujitambui wala hatujui mamlaka tuliyopewa na MUNGU kwenye Serikali ya ndoa. Tumejiachia sana na kujishusha chini sana kiasi hivi sasa wanawake...
Natanguliza salam kwenu.
Kuna mwanamke wa imani ya kiislamu, nimetokea kumpenda sana na yeye anaonyesha kunipenda sana, mimi ni mkristo na tumefahamiama kama miezi 10 hivi. Kapanga mahali, nami...
Nimejiridhisha vya kutosha ndiomana nimeamua kuleta swali hili kwenye public, nikawaida sana kwa wanawake wajawazito hasa wa mijini au vijiji vilivyofikiwa na nishati ya umeme ambayo ndio chanzo...
Msichana anataka mvulana akuwe, aache utoto, afanye mambo makubwa, awe mtu wa mjukumu, malengo, lakini yeye anataka uwe unambembeleza kama mtoto mchanga, na uumtunze kama mtoto mpendwa utimize...
Wakuu habarini!
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2014 nimetoka Mbeya nikafika home Mwanza muda wa saa
7. Kesho yake nikaenda kwa shemeji angu alikuwa meneja wa bar moja kubwa sana Mwanza kumsalimia...
*WANAWAKE WA PEPONI*
*MKE:* Mume wangu, swahiba wangu alofiwa na mumewe amemaliza eda naomba umuowe mke wa pili
*MUME:* Ah wasema kweli? Si mumeishi kama mtu na dadake?
*MKE:* Ndio ni...
Salaam,nmewaza sana juu ya huu utumwa tulionao wanawake ambao unasababishwa na tamaa za wanaume:
Miaka ya nyuma wanaume walikua wanataka wanawake wembamba(English figure,easy to carry)ilhali...
Habari za asubuhi wapendwa natumaini sote tu wazima...na wenye maradhi Mungu awaponye...
ASSETS
Ni kitu chochote kinachokuingizia kipato kwa namna moja au nyingine....
Asset - Wikipedia...
Niliwahi kopa hela nyingi kumnunulia mtu simu nguo na vibegi, ila haijachukua miezi akachukuliwa na mjeda akaniacha solemba.
Kwakua hajanitoa uhai sina kinyongo nae ingawa den lilinitesa
Mdada ukiniona nina kibamia basi wewe una bwawa
mdada ukiniona kitandani mchovu kimoja nimelala basi either hunivutii au hujui mapenzi
mdada ukiniona bahili basi unapiga sana virungu visivyo na...
Aiseee, akili za mwananke huyu anazijua mwenyewe yaani sijui hata ujasiri anautoa wapi.
Si mgeni hapa mtaani, nilizoea kusalimiana nae tu pale tunapokutana njia lakini ajabu ni juzi...
Jamaaaan mm nna mpenz wangu nampendaa sanaa na yeye naona ananipendaa lakini juzi nmeonana nae kanambiaa kitu kimeniuma sana kasema mpenzi kiukwel ulivokuwa mbali nlitembea na mwanaume alinilaghai...
Hi wanaJF
Najua kuna kina dada au kina mama waliopewa ahadi za kuolewa 2017 kitu ambacho kilipelekea wengine tunyimwe fursa hata ya kuagwa.
Napenda kuwakumbusha ndugu zetu hawa kwamba zimebaki...
Askari polisi aliyemuua kwa risasi aliyekuwa mpnz wake bi Neema ambaye alikuwa askari wa jeshi la wananchi kambi ya makambako amekamatwa Leo akijaribu kujiua.
Askari huyo ambaye baada ya kufanya...