leprincess
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 282
- 456
Salaam,nmewaza sana juu ya huu utumwa tulionao wanawake ambao unasababishwa na tamaa za wanaume:
Miaka ya nyuma wanaume walikua wanataka wanawake wembamba(English figure,easy to carry)ilhali wanajuawanawake wa kiafrika nimatukunyema wanawake tukasema hakuna tatizo tukapungua tukawa wakina chaupepo.
Mkaona huo mtihan tumefaulu mkaja na nyingne eti mnataka mwanamke mweupe (chocolate colour)carolote zikahusika watu wakakoboka Hadi mzungu akaanza kuogopa maana kasi ilikua kubwa
Mkasema hiyo pia wamefaulu sasa tunataka mwanamke mwenye flat tummy,wanawake wakawa wanakunywa mkojo wa mbuzi na limao wengine maji ya moto
Mkasema bado tunataka wowowo ikawa kazi rahisi mchina akahusika watu wakapaka Hadi ugoro (vile unavonuka alafu mtu anakomaa nao kupaka na kulala nao ili apate wowowo)sisi wenye flat screen tuliitwa majina mengi kitaan
Sasa eti mnakuja na Kali ya mwaka mnataka wanawake wenye blue eyes (macho ya blue )Dhumuni lenu nini?tuwe vipofu?tumechoka wajamenii..tumechoka Miili yetu kufanyiwa service kama toyo 2018 tupumzisheni.