ATI NINIIII!!!!

Mwaka mzima kijijini watu wako bize kulisha majani mbuzi na ng'ombe wewe huku mjini mwaka mzima uko bize kulisha mademu chips soda na baga halafu unakuja kwenye sikukukuu ya mwaka mpya unataka kuchinja mbuzi kaka acha utani kila mtu achinje alicholisha
Hahahaha muwe mnawaambie waje na mbuzi zao
 
Back
Top Bottom