Pole sana mkuu, siku nyingine usitumie pesa kama chambo utafutapo mpenzi wa kweli.Niliwahi kopa hela nyingi kumnunulia mtu simu nguo na vibegi, ila haijachukua miezi akachukuliwa na mjeda akaniacha solemba.
Kwakua hajanitoa uhai sina kinyongo nae ingawa den lilinitesa
hahahah yege mbaya kama niniNiliwahi kukumbizwa nkapigiwa kelele za mwizi kisa nilifuata binti kwao saa 6 usiku...ukame mbaya jamani
Kibaya zaidi ni ukute iyo mbunye haina ladhaNilipanda usiku gari la magazeti toka Dar kwenda Arusha kuwahi mbunye!
Kwa huo mwendo hapo barabarani niliona kifo hiki hapa!!
Kama unaweza unafanya tuMkuu kujitoa mhanga una manisha kumeza bomu
Sifanyag huo upuuz mkuuKama unaweza unafanya tu
Sema akakupotezea,,,, wanakuwaga wajanja kukuchomoa mkwanja, anajifanya amelainika, anakupiga mzinga ukimpa tu unakuwa umeliwa.Juzi tu nimemtumia demu elfu 20 mamaeee afu siku ilofata tukapotezeanaa.... najimind mpaka kesho
Yanii yule kanipa funzo...!! Malayaa sanaaSema akakupotezea,,,, wanakuwaga wajanja kukuchomoa mkwanja, anajifanya amelainika, anakupiga mzinga ukimpa tu unakuwa umeliwa.
Tena ile anasema my nirushie elf20,, usirushe ukisharusha hata meseji zako hajibu tena. sanasana uwe umeshagegeda.Yanii yule kanipa funzo...!! Malayaa sanaa
halafu sijui kwanini wanapenda kuita "my", sipendi kuitwa ivo mimi.Tena ile anasema my nirushie elf20,, usirushe ukisharusha hata meseji zako hajibu tena. sanasana uwe umeshagegeda.
wezi a.k.a waizi sana. "My nikwambie kitu?" teh, teh, teh, hapo kimbia.halafu sijui kwanini wanapenda kuita "my", sipendi kuitwa ivo mimi.