thebosskissima
Member
- May 22, 2017
- 65
- 299
Msichana anataka mvulana akuwe, aache utoto, afanye mambo makubwa, awe mtu wa mjukumu, malengo, lakini yeye anataka uwe unambembeleza kama mtoto mchanga, na uumtunze kama mtoto mpendwa utimize mahitaji yote, yani opposit na vile wewe anataka uwe