jini mahaba wabaya sana

jini mahaba wabaya sana

bestmale

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
3,067
Reaction score
1,809
kama kichwa kinavyosema hawa jini mahaba pia wanahusika kwa kuusambaza ukimwi ... mana wanatembelea wadada wengi warembo..
 
kama kichwa kinavyosema hawa jini mahaba pia wanahusika kwa kuusambaza ukimwi ... mana wanatembelea wadada wengi warembo..
Umeyajuaje yote hayo au wwe ndio jini mahaba?unajisifia kiaina!
 
[emoji102][emoji101] hao jini mahaba wa kwenu noma sana...ARV wanachukuliaga kituo kipi??
 
Niwie radhi Kwanza ndo nitakuchora asubuhi asubuhi umeniharibia mood

Mrembo wangu relax banaa, vijimaneno vya jf viachie humu humu visikukoseshe mood...

Wewe ni bonge la mrembo demiss
 
kama kichwa kinavyosema hawa jini mahaba pia wanahusika kwa kuusambaza ukimwi ... mana wanatembelea wadada wengi warembo..
Umesema ukweli tupu.
Ngoja tusubirie michango zaidi kutoka kwa wadau.

Nakumbuka mwaka jana kuna binti mrembo aliombewa kanisani, yaani ilikuwa patashika.

Baada ya kuombewa, alitoa ushuhuda jinsi alivyokuwa akitumika kingono lakini nafsi yake hakuwa akipenda kushiriki na watu wengi tena tofauti tofauti.

Alisema alikuwa akitongozwa hakatai, na kwa siku moja aliweza kutembea hata na wanaume hata 6 kwa wakati tofauti bila kuchoka.

Sasa, jiulize kama angekuwa muathirika wa ukimwi angeambukiza wangapi?

Ngoja tumsubirie Mshana atupe uhondo wa hili jambo.
 
Back
Top Bottom