KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Waga sielewi inakuaje wanaume kutembea wameshikana mikono
Ni kuwa niurafiki au?
Ni kuwa niurafiki au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muulize yule jamaa aliye lala na mwenzake ucku akaja kukunusha hajapigwa dudubaya
Hapo hili zungu ndio linatembezewa dudu unaona lilivyolegea mikono
Unamfunga kamba tu ka mbuzi vileMwingine labda ndio amekuja mjini inabidi umshike mkono usije ukamuacha maana wanashangaa sana
Hahaha amekuwa mfugoUnamfunga kamba tu ka mbuzi vile
Wala siyo zungu hapo yote yamwlainika .. Hasa hasa huyo mwenye tishet ya pink .. Kwisha kazi yake .. Ata kwenye hiyo simu anachagua miboo ya kumstimulate..Hapo hili zungu ndio linatembezewa dudu unaona lilivyolegea mikono
Zamani haikuwa shida, ilionyesha umoja na msisitizo wa jambo mnalozungumzia, sie wasukuma hata kulala chumba kimoja haikuwa shida lkn kwa dunia ya shetani ya sasa kushikana mikono ni mashaka matupuWaga sielewi inakuaje wanaume kutembea wameshikana mikono
Ni kuwa niurafiki au?