Anataka aone natural beauty yako na si artificial za mkorogo.Mbona papuchi hamzipodoi??!Ivi mpenzi wangu atakuwa na nini moyoni mwake nikianz kujipodoa anaongea ongea unajipodoa unaenda wap wakati huko hapa hapa hii hali inaniumiza kwasabu mimi nimeshazoea kujipodoa
Hana kosa huyo anataka aone uhalisia wakoIvi mpenzi wangu atakuwa na nini moyoni mwake nikianz kujipodoa anaongea ongea unajipodoa unaenda wap wakati huko hapa hapa hii hali inaniumiza kwasabu mimi nimeshazoea kujipodoa