Hatutaki "shikamoo" zenu

Hatutaki "shikamoo" zenu

Locci

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2017
Posts
1,002
Reaction score
826
Hii tabia ya kuamkiana "shikamoo" wakati ki-umri tuko sawa muache au ndo mnatunyima mbu.n.y.e zenu kisairensa...utakuta lidemu likuuuubwa ile kulisalimia tu "mrembo mambo???" Utasikia "shikamoooo" aaaaagggghhhrrrr yan sipendiii mi ndo kwanza nina 24 afu demu wa miaka 28 aniamkie Mimi,Mimi,mimiii aaahh acheni hizooo..unaniamkia mi kaka ako??nyie VP??
 
Back
Top Bottom