Sababu zangu za kuchepuka, je za kwako ni zipi 2017?

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,400
Reaction score
1,019
Kwakweli nina mke na watoto watatu nimeoa 2007 ila nimechepuka na wanawake watatu mwaka huu na sababu zote mke wangu alisabababisha kwa asilimia kubwa.

1.Aliponiambia kwa hasira hawa watoto siyo wako nilipandwa na hasira isiyo ya kawaida ila sikufanya reaction kwake nikaamua kutoka hapo nyumbani kwa bahati mbaya au nzuri nikakutana na bidada mzuri na mwenyewe upendo tukasalimiana tukapiga story mbili tatu tukabadilishana namba basi tukawasiliana mpaka nikasex naye siyo siri amekuwa faraja yangu kweli kuliko mke wangu.

2.Mke wangu aliponifukuza eti niondoke hapo nyumbani nikakae napopajua mimi nikamsaliti tena na mwanamke mwingine bila hata kupenda just campaign tukaishia sex.

3.Kiburi chake na makelele yake kinasababisha kila akikasirika nitamani kwenda kwenye faraja ya mda eti akikasirika ananitukana kabisa mfano kuna siku alinitukana mimi ni msenge tu yaani shoga kuanzia hapo hamu naye sina na sijui kama itarudi tena na huwa nikienda kwenye michepuko yangu wanaenjoi sana kuna mmoja mpaka natamani ningechukua jiko awe yeye ni mstaarabu hata kama ana tabia nyingine zilizojificha haziwezi kuwa mbaya kama hizi za mke wangu.

Je, wewe kipi kilisababisha uchepuke uwe mwanamme au mwanamke?
 
Mie niko singo fo laifu.
Kwakuwa sina mume maalum kubambiana sunna, ila I have life partners who make my life smooth and sweet.

Kwanza vacation partner, huyu nampenda mnoo maana huwa kila likizo yangu yupo available tukatumbue maraha. Shida tuu mie niko kikazi S.A. wakati yeye yuko kaskazini magharibi kabisa mwa S.A. Namshukuru Mungu tunabamba mnoo.

Pili yuko penny partner, huyu January December of a year hataki nitumie mshahara wangu analipa pesa tuu bila hata kumuomba, yeye furaha yake asikie sauti yangu tuu, tunaongea sana kwa simu. Hatujawahi kubambiana japo alishakuja S.A. tunatoka out mziki till majogoo kwakweli huyu namheshimu maana pesa yake tamuu.

Tatu yuko huyu mmoja huyu laah ni shiiiddeeer, nilimuonjesha shark siku moja tuu basi kawehuka hataki hata kuoa. Namwambia wewe unazeeka ujue mie sina mpango wa kuolewa na wewe wala kuzaa watoto maana siwezi muacha vacation partner wangu wala penny partner wangu ndo wanaoniweka mjini. Sijarudia tena kumpa shark maana looh amekuwa kama zezeta kutwa kucha anataka nimpe, aaahggh basi nampaga fake promise siku zinaenda.

Sasa hapo sijui kama nime cheat au aje.....

Kasie Mahaba.
 
Ukipata nafasi uje kwangu.
 
hakunaga kitu kucheat? kusex na mtu mwingine ndop unacheat nini sasa? mwili si wako? hisia si zako? ishi utakavo
 
shark ni tigo eeeh??

Screenshot_2017-12-31-20-09-23.png

Simple translation.....
 
hakunaga kitu kucheat? kusex na mtu mwingine ndop unacheat nini sasa? mwili si wako? hisia si zako? ishi utakavo

Ooh ok....

Nilikuwa najaribu kujidadavua kuendana na mada husika kisha nikajiuliza kutokana na mstakabali wa maisha yangu, je hapo nacheat au aje?

Nashukuru kwa tafasiri yako.
 
Hujambo Kasie
 
Mie niko singo fo laifu.
Kwakuwa sina mume maalum kubambiana sunna, ila I have life partners who make my life smooth and sweet.

Kwanza vacation partner, huyu nampenda mnoo maana huwa kila likizo yangu yupo available tukatumbue maraha. Shida tuu mie niko kikazi S.A. wakati yeye yuko kaskazini magharibi kabisa mwa S.A. Namshukuru Mungu tunabamba mnoo.

Pili yuko penny partner, huyu January December of a year hataki nitumie mshahara wangu analipa pesa tuu bila hata kumuomba, yeye furaha yake asikie sauti yangu tuu, tunaongea sana kwa simu. Hatujawahi kubambiana japo alishakuja S.A. tunatoka out mziki till majogoo kwakweli huyu namheshimu maana pesa yake tamuu.

Tatu yuko huyu mmoja huyu laah ni shiiiddeeer, nilimuonjesha shark siku moja tuu basi kawehuka hataki hata kuoa. Namwambia wewe unazeeka ujue mie sina mpango wa kuolewa na wewe wala kuzaa watoto maana siwezi muacha vacation partner wangu wala penny partner wangu ndo wanaoniweka mjini. Sijarudia tena kumpa shark maana looh amekuwa kama zezeta kutwa kucha anataka nimpe, aaahggh basi nampaga fake promise siku zinaenda.

Sasa hapo sijui kama nime cheat au aje.....

Kasie Mahaba.
niiiiceee...
 
Ukichepuka angalau mara moja kila mwezi, kwa mwaka mzima unakua umechepuka mara 12

12÷366= 0.033
0.033×100=3.3%

Yaani kumbe unakua mwaminifu kwa 96.7% ambayo ni grade A```[emoji736]

Tuongeze juhudi 2018‍♂‍♂‍♂
 
Mie niko singo fo laifu.
Kwakuwa sina mume maalum kubambiana sunna, ila I have life partners who make my life smooth and sweet.

Kwanza vacation partner, huyu nampenda mnoo maana huwa kila likizo yangu yupo available tukatumbue maraha. Shida tuu mie niko kikazi S.A. wakati yeye yuko kaskazini magharibi kabisa mwa S.A. Namshukuru Mungu tunabamba mnoo.

Pili yuko penny partner, huyu January December of a year hataki nitumie mshahara wangu analipa pesa tuu bila hata kumuomba, yeye furaha yake asikie sauti yangu tuu, tunaongea sana kwa simu. Hatujawahi kubambiana japo alishakuja S.A. tunatoka out mziki till majogoo kwakweli huyu namheshimu maana pesa yake tamuu.

Tatu yuko huyu mmoja huyu laah ni shiiiddeeer, nilimuonjesha shark siku moja tuu basi kawehuka hataki hata kuoa. Namwambia wewe unazeeka ujue mie sina mpango wa kuolewa na wewe wala kuzaa watoto maana siwezi muacha vacation partner wangu wala penny partner wangu ndo wanaoniweka mjini. Sijarudia tena kumpa shark maana looh amekuwa kama zezeta kutwa kucha anataka nimpe, aaahggh basi nampaga fake promise siku zinaenda.

Sasa hapo sijui kama nime cheat au aje.....

Kasie Mahaba.
Penny partner!?? Bdo cjakusoma kbsaaa!
 
Back
Top Bottom