DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,338
nilimpenda nilimpenda upeo!
alikuwa mrembo haswa mjukuu wa hawa
mweupe si mweupe mweusi sio
mweusi
rangi yake chocolate
tabasamu nzuri la kumponya
mgonjwa
macho makubwa ya kimahaba
mithili kala kungwi
ohoo amegawanyika katikati
kifua kidogo chini nyigu
my first love petronia where are you
tulikutana jimbo katoliki mtwara
kwenye kongamano
usiku ule sitausahau
hata ikiwa uliko umeolewa
jua nakupenda na nakuombea
alikuwa mrembo haswa mjukuu wa hawa
mweupe si mweupe mweusi sio
mweusi
rangi yake chocolate
tabasamu nzuri la kumponya
mgonjwa
macho makubwa ya kimahaba
mithili kala kungwi
ohoo amegawanyika katikati
kifua kidogo chini nyigu
my first love petronia where are you
tulikutana jimbo katoliki mtwara
kwenye kongamano
usiku ule sitausahau
hata ikiwa uliko umeolewa
jua nakupenda na nakuombea