Ndoa za mitandaoni zishaprove failure, uchumba hauna guarantee

Ndoa za mitandaoni zishaprove failure, uchumba hauna guarantee

Akilitime

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
581
Reaction score
763
According to Dr. Mitimingi

1. Usijilishe upepo kwa kuendelea kutafuta mke/mume mwema kupitia mitandaoni, Wengi wamevuna maumivu. Mtu anapofikia hatua ya kutafuta mchumba mitandaoni tayari anakuwa na matatizo binafsi.

2. Uchumba hauna guarantee. Uchumba sio ndoa, usiwekeze kwa mchumba wako, mda wowote waweza sahaurika.

3. Uchumba usiende zaidi ya miaka miwili na usiwe chini ya mwaka mmoja.

Nb. Usiwekeze katika uchumba. Acha kujidanganya eti mnapendana sana, ipo siku utakuja kujuta, utawalaani wanaume/wanawake wote. Pia hakuna chombo chochote kitakachokutetea kwa kuwekeza katika uchumba.

Mwisho: epuka kuonjana kabla ya ndoa, mtachokana kabla ya ndoa.


...........................................................
 
Daahhh,, nikweli ila ngumu kumeza mkuuu!!!!.

Shida unaweza ukasema usimgegede till umuoe kumbe akawa anagegedwa pemben.
 
poa ila mwanamke hatabiriki ni kua makini tu na adhabu zao huwa wanajiadhibu wenyewe wanashtukia mwishoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom