adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,032
- 15,721
Habarini humu ndani.
Straight to the point.
Kuna jambo moja lilitokea kipindi cha nyuma kidogo nataka kushare na nyie.
kuna rafki yangu mmoja alikuwa na mchumba wake wameshavalishana hadi pete!
Huyu jamaa alikuwa rafki yangu lakini sio sana kivile. Alikuwa mtu wa biashara nyingi mchacharikaji sana. sasa kuna siku alisafiri na huyu mchumba wake alikuwa amemfungulia salon ya kike hapa town!
Jamaa akiwa safarini alikuja ndugu yangu anaeishi london ilikuwa likizo fupi tu amekuja kutembea na kila kipindi akija mi ndio kampani yake kubwa sana!
Basi katika pitapita zetu huyu ndugu yangu akamuona yule mchumba wa rafiki yangu akamzimikia na kumshushia nondo ila yule mwanamke akawa ananiogopa mimi!
Yule ndugu yangu aliweza kumshawishi yule mwanamke hadi wakavunja amri ya 6. Ndugu yangu akawa anamchakaza kila siku yule mwanamama. Siku ya siku mwenye mali akarudi kama unavyojua si kammis mchumba wake wakalala wote asubuhi jamaa kaamka dudu lote linavuja usaha!jamaa akili imemruka kaenda hospitali akakutwa na gonjwa la zinaa.
Akampiga sana yule mwanamke hadi akamtaja yule ndugu yangu ndio aliemuambukiza! Jamaa akakosa la kufanya ila akanieleza huo mkasa wake ikabidi niruke kwamba mi sijui wala sihusiki! Ila nilimuonya sana yule ndugu yangu asifanye hivyo lakini akazunguka upande wa pili bila mi kujua.
Lakini yule jamaa mwisho wa siku alimuoa yule dada bila kujali aliyofanyiwa!
sijui tu kuna watu wana mioyo migumu sana.au mapenzi ni upofu