Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,939
EXTRA LIVE STRAIGHT TALK: The Art of RESPECT TO WOMEN
Mambo mengine ni common sense zaidi huhutaji Phd kujua kuwa Wanawake wanakomaa akili na busara kuliko sisi Wanaume so usijidanganye na umri wa Mwanamke na pia Wanawake wanajua kutunza siri kuliko sisi Wanaume ndio maana Mbebezz anaweza kukupachika mtoto sio wako huku anajua fika ukweli na akaishia kufa nao ndio maana wanasema kama huna uhakika na mtoto wako kapime DNA mapema KUJIRIDHISHA TU
Mwanamke anaweza kuishi bila mapenzi na Mwanaume wala Ndoa lakini Wanaume hatuwezi ndio maana ndoa nyingi zinapokufa
Mwanaume lazima atakuwa wa kwanza kukimbilia kuoa sio kwa sababu ya mapenzi hapana ni kwa sababu ya mazoea ya kuishi kwa kufanyiwa kila kitu na Mke na ndio maana kwemye jamii yetu utakuta Kina Mama wengi Wajane ambao waume zao walitangulia mbele ya haki siku nyingi wapo wanaendelea kuishi tena bila kuolewa tena wala mahusiano ya kimapenzi
Lakini sio rahisi kumkuta Mwanaume ambaye mke wake alifariki yeye mpaka leo hana mke mwingine wala mahusiano ya Mapenzi na on a serious note huwa Wanaume tunakufa haraka sana kama mke akitangulia unless apatikane Mwanamke mpya wa kumuoa fasta ...like Mwanaume mjinga anaweza kuoa ...