Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,851
- 7,767
Hali zenu wanabodi.
Hivi ktk kulinda amani kwa askari wawapo mbali na wenza wao hukidhi wapi hitaji muhimu la kimwili? Ukizingatia mtu anaweza akawa mbali na mwenza miaka miwili.Mazingira pia sio rafiki kule alipo kwani anawindwa na adui.