Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
LIVE STRAIGHT TALK:- Morning Guys Mungu anasema "MY PEOPLE ARE DYING BECAUSE OF LACK OF KNOWLEDGE"
To you all Mamen zijue dalili za Mbebezz anayekuzimia na asiyekuzimia kusudi usije ukachanganyikiwa kwa kumpenda asiyekupenda ...
Kwanza kuna Mapenzi na Tamaa ni vitu viwili tofauti kabisa usichanganye kuna Mbebezz anakutaka umalizane naye tu mara moja basi hataki tena kukusikia ni kwa sababu kasikia kwa wenzake kwamba upo vizuri kwenye kumalizana au kasikia ukigonga huwa unatoa pesa ndefu kwa hiari tu bila kuombwa au una Mabebezz wengi sana for that Mabebezz huwa out of curiosity wanapenda kuja kujaribu kuona kuna nini hasa kinachowaleta Wabebezz wengi kwako lakini sio kwamba wanakupenda NO WAY..
Now Mbebezz anayekupenda atatafuta kila njia kukufikia hata akutane na vikwazo vikubwa lakini atakutafuta tu na hatasikiliza maneno ya watu mpaka dhamira yake itimie now ukiona Mbebezz anasua sua kwa sababu ya maneno ya watu ujue hakupendi ni mzushi tu ..hahahaha...
Ukiona Mbebezz anaona aibu kuonekana na wewe kwenye Public kwa visingizio vya kijanja janja ujue hakupendi as full package ila kuna something ana admire in you na mara nyingi huwa ni Pesa zako tu ila kuonekana na wewe ...
Good Morning Guy