kuna jambo linanitesa sana jamani .
mwaka jana mwanzoni nilienda ofisi moja ya umma kikazi.nilikuwa nimevaa suruali ya kitambaa ya kawaida tu ya ofsini. nilipofika getini pale nikazuiwa eti...
Siku moja nilimkwaza mke wangu. Nikataka kuomba msamaha lakini nikakumbuka Nisamehe zimekuwa nyingi sana kwa hiyo nikataka kubadilisha style ya kuomba msamaha.
Nikaenda sebuleni nikaanza kuomba...
Habari,
Hapa nawazungumzia wadada ambao wakati wa game wanamuachia mwanaume tuu ndiye atawale utamu! Yes, unakatika, una miguno amshi na unajua vyema kuichezesha pa.puchi mpaka mwenzio anafurahi...
Habari zenu wakuu,
Ni matumaini yangu Jumapili ya leo wote ni wazima na wengine ndio tunajiandaa kwenda makanisani na wengine tupo kumalizia malizia weekend.
Kwanza kabisa nadhani kila mtu...
Habari wakuu...!!
Naona mambo siku hizi mtelezo sana yaani nimeomba namba leo leo na nimetupia nanga kwa mtoto leo leo kanikubali alafu kesho nimemwambia aje Gheto kaniambia fresh ni mimi tu...
Habari za masiku wakuu wa jamvi,
Hapo kipindi cha nyuma nilipost Uzi wa kutaka mwenza ambae ni single mother japo ulifutwa Mara mbili. Hakika kila jambo lenye kheri na lenye tija linamafanikio...
Nipo kwenye mahusiano na mdada ambaye anadai alishaumizwa hapo nyuma, tatizo ni kwamba baada ya kumpendana na yeye anadai anajitahidi kurejesha moyo wa kupenda manake alishakata tamaa ya kupenda...
Habari wana jukwaa,
Kwa utangulizi mimi sio mgeni JF nimeamua tuu kutengeneza I'd mpya nitoe ya moyoni, mnishauri, mniombee nadhani nitapumua.
Mimi ni mtanzania umri wa miaka 24 mama wa mtoto...
Habari za mwanzo wa juma wanajamvi
Kuna tamaduni km sio mila japo sina uhakika km ni kwa makabila yote ama ni baadhi hususani kwa hapa TZ ya kwamba pindi mtoto anapozaliwa mzazi inabidi awe...
Asaalam,
hakuna binadamu anayependa kuaibika mbele za watu hasa akiwa na ampendae, hili lipo wazi. Na huaibika zaidi pale ampendae anapokuwa ndiye kisababishi cha yeye kuaibika.
Kuna watu...
Hbr JF.
Mwaka jana nilikuwa kwenye mazishi ya rafiki yangu alikufa ghafla, minong'ono msibani ikawa kuwa amelishwa limbwata na mkewe.
Mke alivyo hojiwa akasema alienda kwa mganga kupewa dawa...
Ni ngumu kueleweka na ila kiasili sisi wanaume tumeumbwa kuwa na mke zaidi ya mmoja na kwa upande wa waislamu imehalalishwa ila kwa ndugu zangu wakristo ni mke mmoja tu na sina uhakika kama...
Hivi umekaa na mpenzi miaka mitatu unamlaaa kilaaa siku vizuri tuu, mnaachana anaanzaa ooh unakibamiaaa, Oooh huwezi mapenzi sijui nini matusi kibao kisa umemuudhi
Kuna mtu aliniambiaa ukiona...
Habari za Saa hizi wasichana wa kike na wa kiume,
Binafsi nina tatizo la kutokuweza kutongoza, mashaallah, mimi ni kijana handsome na mashine nimejaaliwa ila wanawake nawaogopa sana.
Yaani kila...
Ilikua zamani kidogo miaka ya 2007 kijiji flani hivi Tz hapa, Kulikua na Dada mmoja hivi mcha Mungu kweli kweli yani mlokole vibaya mno.
Sasa kuna kijana mmoja hivi aliitwa Emanuel walikua...
Kichwa chatopic kinajieleza, ni mzuri najijua though si wa kutisha, nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo, am dark skin, sio mrefu ila nimempita urefu Lulu Michael kidogo. Shida ni nini...
Mshikaji kapigiwa simu kwamba Mke wake kazidiwa na yuko hoi, kuwahi nyumbani kamkuta Mke wake hajiwezi, fanya kila kitu fasta kumuwahisha Hospitali, baada ya fahamu kurudi anaulizwa kulikoni...
Dunia ina mambo Kampuni moja ya nchini Japan imedai kufanikiwa kutengeneza midoli ya ngono ‘sex dolls' yenye muonekano halisi wa mwanamke ambayo huwa na ngozi ya mwili kama ya binadamu na...
Habari wana jamvi [emoji1538]
Leo ni wiki ya kwanza tangu tuanze matumizi ya kinga 'condom' katika ndoa yetu, kama mtakumbuka mwaka jana nilileta uzi kuhusu jambo hili, labda nikumbushe kuwa nia...
Habari wana bodi!
Kama Kichwa cha habari. Kinavyojieleza,ningependa tujadiliane hapa kuhusiana na
Haya matatizo ya kujiua kwa
Baadhi ya watu kwa sababu Ya
Mahusiano ya mapenzi,hivi
ni...