Habari wandugu
Siku yaleo nataka tujadili kidogo jambo muhimu sana kwenye mahusiano si lingine ni hili pesa
limeonekana ni kero kwa wanaume na ata wanawake baadhi hii hali yakuonekana wapo kipesa...
Wakuu,
Mimi ni mteja wa mkubwa wa Ambiance (Yale mambo yetu) maana sinza ndio makazi yangu makuu
Sasa siku hizi nakuwa nakosa nafasi kabisa ya kwenda kununua sinza kwakuwa nimekuja kimara...
JINI WA DARAJA LA SALENDA.......EP.1
Majira ya saa nane za usiku msichana Suzana alikuwa akitoka kujirusha katika ukumbi wa Bilicanas. Kilichomshtua kilikuwa kutoweka kwa mpenzi wake Sammy ambaye...
Hili swali nmekuwa nikijiuliza sana. Wakati mwingine sisi mabachelor tunalaumiwa bure tu.mfano anakuja mwanamke au unamtoke mwanamke anakubali unamla.unamla tena,na tena ,na...
Unapoamua kuachana na mtu achana nae for good usimtafutie sababu kwa kumzulia jambo lisilo la kweli na kumpakaza mabaya kwa wengine, kwani kufanya hivo haitakufanya wewe kuonekana mwema kwa...
Habari za j pili wana jf,
Jana mwenzenu yamenikuta makubwa,baada ya uchovu wa kutwa nzima hatimae kidume nikaona nilale mapema coz kiubarid kilikuwa swaaaaaafi.
Nimeingia geto nikachojoa nguo...
Haka kabinti ni kazuri sana, nimekuta kameniinbox kwenye acc yangu ya fb kwamba kanataka kuestablish a long lasting relationship with me, kakanipa email address yake ili tuwasiliane, kwa kuanza...
Na
.
Sangu Joseph
.
.
Watu wengi tumekuwa na tabia ya kuwaamini sana watu ambao kiuhalisia sisi hawatumini Kama ambavyo wao tumewaamini na hii inatokana kuwapata hao marafiki, wapenzi au watu wa...
Huwa najiuliza peke yangu sipati majibu...???????????
Kwanini wenzetu wa imani ile........ wanachelewa sana kuoa?
Unakuta wachumba wanakaa nyumba1..wanazaa hadi watoto by 35+ ndio ndoa hufuata...
Kama mnavyojua ndoa nyingi siku hizi zimekuwa ndoano. Kuna watu wengi ambao wanatamani watoke lakini pengine wanaogopa mambo mbalimbali kama jamii itawaonaje, maisha ya watoto, pengine mmoja wao...
Hi great thinkers nawaomba wote Tanzania tuwe wakali kuwakemea Dada zetu wanapojiingiza katika mikono ya waharibifu kwakuwa itakuwa hasara Kwa Dada zetu.Ukiona mvulana hana muelekeo Kwa Dada yako...
Bila hata salaam.....maana nimekwazika mpka pale kwenye kapoint ka mwisho kabisa.
Kuna mzee mmoja hapa ni mpangaji mwenzangu.....lkn yeye kapanga vyumba vitatu....
Ni mtu mzima yani 50+ hvi...
Wa salaam wakuu,
Nimekuwa nikimfuatilia binti fulani kwa mwaka sasa. Kusema kweli binti ni mzuri, binti akaanza kunielewa leo nimemuita ghetto akaja, ile tupo kwenye maandalizi nikashtuka kuona...
Assalaam aleikhum! Napenda wakuu tuweze kuwashukuru na kuwakumbuka watu ambao siku zote wamekuwa wakitusaidia kwa njia moja au nyingine katika jukwaa hili katika mambo ya mapenzi,mahusiano na...
Heshima kwenu wana wa Adam,
Amani iwe nanyi nyote mlipo,
Ama kwa hakika duniani kila Leo hakuishi vituko na maajabu tena ya kustaajabisha kutoka kwa wana wa Adam.
Kwanini watoto walio wengi wa...
Habari wana JF .
Kuna hii tabia ya akina wadada ambao akitaka kuja kwako kama mpo mkoa tofauti lazima atadai nauli ya kurudia mkoani kwake.
Hvi najiuliza alipokuja kwani alijua anakaa maisha au...
Heri ya mwaka mpya ndg zangu
Amani iwe nanyi
Naamini mko wazima wenye nguvu na afya njema, mwenzenu Niko bukheri wa afya namshukuru Mungu kwa hili.
Moja kwa moja pasi na kupoteza muda niingie...
UTAFITI: Wanawake walioolewa wako katika nafasi nzuri ya kufanikiwa kibiashara kuliko wale wasioolewa. Hii ni kwa mujibu wa taasisi isiyo ya kibiashara ya Sage Faundation ya nchini Afrika Kusini...
Habari wakuu,
Hapa natoa ujumbe moja kwa moja kwa wanaume wenzangu.
Acheni na punguzeni maneno yasiyo na mantiki kwani maneno haya hujenga au hubomoa jamii.
Naelewa kuwa kuna maneno ya kihuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.