Mdada/mwanamke mfanye mwenzi wako a-perform zaidi!!!

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,807
Habari,
Hapa nawazungumzia wadada ambao wakati wa game wanamuachia mwanaume tuu ndiye atawale utamu! Yes, unakatika, una miguno amshi na unajua vyema kuichezesha pa.puchi mpaka mwenzio anafurahi! Kifuani nako kunaita, hata kama una ndala lakini idara nyingine zinaamsha. Najua una chura ya haja! Lakini SI VIZURI KABISA KUMALIZA GAME NA UKATOKA NA UTAMU WAKO, meaning mwanaume anamaliza game eti anataka kuondoka while wewe bado una nye.ge!

Usiishie kuwa mkabaji tu, kuwa kiungo mchezeshaji! Msaidie mwenzio kuliamsha dude tena ili mrudie game mpaka uhakikishe asali yote imeisha kibuyuni! Papasa kila idara, ramba mpaka kona tatanishi, hakikisha antena inasoma tena channels zote! Imiliki, ikatikie, iimbie, ipulizeee mpaka uhakikishe muda wa nyongeza unaisha, tena omba na penati kabisa!!!

Yaani mkimaliza game inatakiwa ujisemee mwenyewe kuwa "hakika leo nimevunja rekodi ya kufurahia utamu wa Edeni" na mwanaume atoke amekuheshimu!!

Wale magogo na wasio watundu poleni. Wale wanaume wa kamoja ka dakika 5 hamuwatendei haki hawa viumbe watamu!!!

Heeee...kumbe muda wa kazi???? Kwaheri[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
1742ce9d6919ef35cb36d536baed25a9.jpg
da0aafab43cbeae6a3b64c47157bd225.jpg
f649bff3451b8cd6eef6297ab16a3752.jpg
 
Wabongo kwa kupenda ngono kuliko kazi,asubuhi unaamka unawaza ngono tu,kwani huna majukumu?,huna mke?
 
Ndo hapo sasa mimi mwenyewe huwa nashangaa sana!! Kazi mnafanya saa ngapi kama saa hii asubuhi unaanzisha uzi wa ngono!!!! Au ndo anafanya kazi ya Ulinzi? Katoka lindo kaona kabla hajalala atupie uzi kwanza!!!! [emoji23][emoji23]
 
Wabongo kwa kupenda ngono kuliko kazi,asubuhi unaamka unawaza ngono tu,kwani huna majukumu?,huna mke?
kwani kuwaza ngono ni dhambi mkuu....sio siri wanawake ndo starehe mungu aliyotupa kwa tusiiwazie.kama maisha yapo daily utapambanaaa wee mwisho unakufa na utam wako ..Jipe furaha huji kuishi tena hapa ..sasa ww jifanye unawaza sana hela utakuja kuishia kuumwa mipresha bure
 
Asubuhi ngono,mchana ngono,jioni ngono,usiku ngono ukilala unaota ngono yaani ni ngono tuuuuuuuuuuuuuu shubaaaaaaaaaaaaaaaamit zako.
 
Habari,
Hapa nawazungumzia wadada ambao wakati wa game wanamuachia mwanaume tuu ndiye atawale utamu! Yes, unakatika, una miguno amshi na unajua vyema kuichezesha pa.puchi mpaka mwenzio anafurahi! Kifuani nako kunaita, hata kama una ndala lakini idara nyingine zinaamsha. Najua una chura ya haja! Lakini SI VIZURI KABISA KUMALIZA GAME NA UKATOKA NA UTAMU WAKO, meaning mwanaume anamaliza game eti anataka kuondoka while wewe bado una nye.ge!

Usiishie kuwa mkabaji tu, kuwa kiungo mchezeshaji! Msaidie mwenzio kuliamsha dude tena ili mrudie game mpaka uhakikishe asali yote imeisha kibuyuni! Papasa kila idara, ramba mpaka kona tatanishi, hakikisha antena inasoma tena channels zote! Imiliki, ikatikie, iimbie, ipulizeee mpaka uhakikishe muda wa nyongeza unaisha, tena omba na penati kabisa!!!

Yaani mkimaliza game inatakiwa ujisemee mwenyewe kuwa "hakika leo nimevunja rekodi ya kufurahia utamu wa Edeni" na mwanaume atoke amekuheshimu!!

Wale magogo na wasio watundu poleni. Wale wanaume wa kamoja ka dakika 5 hamuwatendei haki hawa viumbe watamu!!!

Heeee...kumbe muda wa kazi???? Kwaheri[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
1742ce9d6919ef35cb36d536baed25a9.jpg
da0aafab43cbeae6a3b64c47157bd225.jpg
f649bff3451b8cd6eef6297ab16a3752.jpg
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Oya mida ya kazi hii bwana mambo ya kuvunjana mbavu hayafai saiv
 
Kwa mizigo hii kwa nini usipafomu??? raha yake uwe na njaa halafu unakunywa pepsi tu basi lazima aombe poo
 
Back
Top Bottom