Namna ya kuishi na wanawake kwa akili

Namna ya kuishi na wanawake kwa akili

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,823
Reaction score
168,047
Siku moja nilimkwaza mke wangu. Nikataka kuomba msamaha lakini nikakumbuka Nisamehe zimekuwa nyingi sana kwa hiyo nikataka kubadilisha style ya kuomba msamaha.
Nikaenda sebuleni nikaanza kuomba kwa sauti ya juu ili kuhakikisha anasikia kila neno ninalotamka.
Na Maombi yangu yalikuwa rahisi tu

"Baba naomba uendelee kunitengeneza nisiwe kikwazo kwa mke wangu, msaidie na yeye aelewe kwamba nampenda na simkwazi kwa makusudi. Wewe unajua kiasi gani nampenda huyu mdada. Si tu kwa sababu ni mzuri sana lakini pia kwa sababu ametoka kwako Bwana."

Aliposikia akaja na yeye akaendelea kuniombea na baadae tukayamaliza kiulaiiiiiiiiini.

Kimsingi hapa sikuwa na muomba Mungu tu lakini nilikuwa namuomba mama yoyoo msamaha kwa style nyingine.
HII STYLE INAITWA ISHINI NAO KWA AKILI.
 
Hiyo style sio. Style nzuri ni kupiga papuchi
 
mi naandikagakwenye diary jinsi gani nina mipango endelevu na jinsi gani siwezi kwenda hata msalani kama nisipoiona sura yake,alafu hyo diary najifanya nimeisahau mezani baada ya kupokea simu ya ghafla
 
Konyagi..... ukiwa Na hangover ndio unapiga maombi ya hatari zaidi. Kwani wee hupendi mumeo agonge japo kidogo?

hahaa hayo maombi hayatapokelewa nadhan !anywys Yesu alikuja kwaajili ya wenye dhambi ,sipendi agonge !kwan wewe unagonga?
 
Back
Top Bottom