UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Hbr JF.
Mwaka jana nilikuwa kwenye mazishi ya rafiki yangu alikufa ghafla, minong'ono msibani ikawa kuwa amelishwa limbwata na mkewe.
Mke alivyo hojiwa akasema alienda kwa mganga kupewa dawa apendwe, kwa kuwa alifanya hivyo tangu zamani kila dawa inapopungua nguvu anagombana sana na mumewe.
Mpaka kutengana akimpa dawa wanarudiana kamuua mwenzie
Sasa wadau mnalisemeaje hili?