Mrejesho: Baada ya kutumia kinga katika ndoa mapenzi yameongezeka

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
7,919
13,394
Habari wana jamvi

Leo ni wiki ya kwanza tangu tuanze matumizi ya kinga 'condom' katika ndoa yetu, kama mtakumbuka mwaka jana nilileta uzi kuhusu jambo hili, labda nikumbushe kuwa nia yangu ya kuanza matumizi ya kinga katika ndoa ni kujikinga na maradhi kama ukimwi!

Usishituke ndiyo 'ukimwi' baada ya kukaa na kutafakari sana niliona kuwa ni rahisi kuupataukimwi ndani ya ndoa kuliko hata nje ya ndoa (amini usiamini hili ni wazi) basi mimi nikaona kwanini hili linikute kirahisi hivyo nikaamua kuja na mbinu za kiafya kabisa kujilinda

Nikiri tu haikuwa jambo rahisi hata kidogo ila nililifanikiwa baada ya maongezi marefu na kuoneshamsimamo wangu juu ya umuhimu wa afya yangu na yake pia, bila ugomvi tulikubaliana

Siku ya kwanza:
Sikutoa taarifa za kuanza kutumia kinga basi mimi nilizinunua nkazileta nyumbani, bahati mbaya au nzuri niliziweka mahali pasipo wazi sana basi mke akaziona, akazichukua akaziweka kwenye meza ndogo ya kitanda hamadi nikazikuta na swali juu 'Umetoa wapi hizi!!?' Siku panic nikajibu hizi za kwetu, aisee haikuwa jambo jepesi hata kidogo

Siku ya pili:
Tulizitumia na tendo tukalifurahia

Siku ya tatu:
Akanikumbusha kuhusu kinga, sasa sijajua ni kunitega au kujilinda pia nikaona poa tu nikaamua nunua bokisi kabisa

Siku ya nne:
Utani ukarudi, mke akaanza kunitania juu ya kinga tukataniana sana juu ya hicho kitu kinga, basi tukafurahia pamoja mapenzi yetu mapya ya kutumia kinga

Siku ya tano hadi sasa:
Mapenzi yetu yameimarika zaidi sasa tunayafurahia zaidi na zaidi kwa kweli nimefarijika na mke anafurahia hali yetu hii mpya

Nawasihi waungwana wenzangu kinga ni bora kuliko tiba mbaya zaidi hii kitu haina tiba, TUTUMIE KINGA HADI NDOANI WAUNGWANA.
 
Lengo lenu ni kufurahia tendo au kujenga familia?hamtaki kuzaa wala kuongezeka?mkuu weka IMANI usipo upata kwa mkeo ipo siku utawasaidia majeruhi vp utaenda kutafuta kinga ili kuokoa roho za watu?

~Haya kila lenye heri,ushaur mwema ngoja watu waje, ila bado nina maswali nn maana ya NDOA?
 
hiyo ndoa mzee naiona inakaa kama ina kutoaminiana vile mkuu kwani wote mna skendo za uzinzi??
 
Sidhani kama ni sawa. ILA endelea tu haina shida. Japo kuna kitu nakiona hapo....
 
Lengo lenu ni kufurahia tendo au kujenga familia?hamtaki kuzaa wala kuongezeka?mkuu weka IMANI usipo upata kwa mkeo ipo siku utawasaidia majeruhi vp utaenda kutafuta kinga ili kuokoa roho za watu?

~Haya kila lenye heri,ushaur mwema ngoja watu waje, ila bado nina maswali nn maana ya NDOA?
Yani we ndo kama mm ninavyowaza. Hawajui lengo la ndoa nadhani
 
Ki ga husaidia wanandoa kuchelewa kukojozana.. Hii huhakikisha uhakika wa wote kufurahia tunda na kufika kileleni.
 
Back
Top Bottom