Polen na majukum
Mimi ni mama wa mtoto mmoja Nina mchumba ambae sio baba wa mtoto wangu
Baada ya kukaa kiuchumba tumeamua kuishi pamoja
Iko hv Mimi na kaa kwangu na mtoto wangu na yeye anaishi kwake ....dec mwaka jana tumetambulishana kwa wazazi wa pande zote mbili..
Sasa basi kilichonifanya nije niombe ushauri
Wazazi wake walikuja nyumban kupatana mahar wakaomba watatoa mwezi wa saba watakua wamevuna maana vyanzo vya mapato yao vinategemea kilimo
Na kutokana na mila ya kabila hili mtoto aruhusiwi kujitolea mahari,,,hata kama atakua na kipato kiasi gani ila mzazi shart amuozeshe
Kawabembeleza wajitahidi kutoa mapema lkn wamedai awe mvumilivu tu..
OK jamaa anataka Mimi na yeye tuanze kuishi pamoja kwan haoni haja ya kulipa kodi Mara mbil
Pia anadai kila mtu kajitegemea hakuna anaeishi na mzazi so tukae pamoja wakati process zingine zikiendelea..
Naomben ushaur ndugu zangu mnanishaur VP???