Mke kuweka condom begi la safari la mume

Mke kuweka condom begi la safari la mume

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,201
Reaction score
14,777
Jamaangu huwa ni mtu wa biashara za mazao anaweza potea mwezi akarudi sasa mkewe anamsababishia matatizo ya kisaikolojia kuliko ya nabii Tito.

Mamsapu huyo aandaapo begi la mzee huweka pakti kama kumi ndani ya begi tena zile condomu za ghali zenye marashi murua.

Sasa hili jembe linaniomba ushauri hii kitu mwanamke anafanya ni nini maana jamaa huwa hazigusi anaogopa utakuwa ushahidi, pia kuna siku aligusa moja ikabidi areplace kwa kununua.

Wajameni hii ni nini, au mwanamke ndo mchepukaji zaidi? Japo anakamunekano ka wapendwa na mtaani ana good reputation ila haya mambo ni siri huwezi msemea mtu.
 
Hapo ndo ujue ,mwanamke makini,, akitaka kukuchezesha songombingo anaweza ,nabado usipate jibu lakwann amefanya ivo??.
 
moja kwa moja huyo jamaa ni dereva wa magari makubwa kama sikosei, huyo mama tayari anajua jamaa anachepuka, sasa anampa hizo zikamsaidie huko mbelembele, sio yeye tu ni wengi wafanya hivyo
 
Kwa kifupi mama amegundua tabia ya jamaa wake hivyo ameamua kumpa kinga.

Pia, Mzee aelewe kabisa kuwa huko home Mama naye anapiga mechi za hatari.

Mwisho, acheni uzinzi ... jiheshimu na ndoa yako iheshimu.
 
Hiyo ndoa itadumu kwakuwa mwanamke amekubaliana na hali aliyoigundua
 
mwambie ahakikishe akirudi safari ziwe pungufu halafu ulete mrejesho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom