Ushawahi kumkimbia mpenzi wako wakati wa hatari? Ilikuwaje?.

Wild sniper

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
4,353
8,465
Mungu ibariki Tanzania.

Story yangu ilikua hivi...

Siku moja nilienda kumtembelea girl wangu mitaa ya kwao ilikua jioni ya kama saa 1,nilikua na rafiki yangu kanisindikiza, kufika pale yeye akaenda kutembea akatuacha pale. Sasa kuna sehemu tukaenda kukaa karibu na kwao huyo mpenzi maana kwa mda huo asingeweza kwenda mbali si mnajua tena geti kali ..

Ilikua sehemu ya uwanja pia kuna jengo la ghorofa limezungushiwa fensi flani ya kizushi basi tukawa tumekaa chini,, hiyo sehemu ina majani kama uwanja wa mpira hivi... Sasa tukiwa pale mtoto akawa kanikalia kwa juu na lita za hapa na pale zinaendelea . Yani unaweza kudhani tupo kwenye mambo yaleee kumbe walaaaa.
Sasa ghafla tukaona mtu kavaa nguo kama askari hivi anakuja spidi na bonge la RUNGU mkononi aisee yule dada si alikua juu nilimrusha huko nikasimama MBIO sikugeuka hata viatu niliacha pale kitu peku .

Basi mdada akakamatwa pale ikabidi anipigie simu mimi shemeji mtu sasa ambae ndo naandika hapa. Ona sasa walidhani mimi ndo nimekimbia mimi nahadithia tu..

Basi akaniambia njoo kuna ishu imetokea rafiki yako amenikimbia dah basi nikaenda pale kweli amedakwa na walinzi wa ile sehemu nakuta viatu jamaa simuoni.. Basi nikaongea nao pale wakataka wampeleke kwa M/kiti wa S/mtaa eti halafu pale mitaa ya kwao nikawapiga kiswahili nikawapa 10000 ndo wakatuacha wakaanza kumcheka mshkaji aliekimbia tukaongea pale tukawa marafiki tena Pesa hizi wallahi ..

Jamaa nilimkuta mbali sana nikambebea viatu vyake, Yale mahusiano hayakuchukua wiki waliachana kabisa na dharau juu..

Sitakaa nisahau maana huwaga nacheka sana nikikumbuka...
 
Ngoja waje hii ndo jf, jukwaa pekee ambalo baba na mtoto wote huitana wakuu tena unakuta wote wamekaa seblen wanacomment huku mtoto akimla mshua biti za kutosha jf mwisho wa sku baba anamwambia mtoto samahan mkuu, huku baba akihamishia hasira zake sebleni "we pumbav badilisha chanel hio" kumbe kisa jf, looooh hk kzaz aliesalama ni mfu tu.
 
Weee mm si mpnz wangu ni dadaangu wa damu kabisa sitasahau nilikuwa nafanya mazoezi na sister wangu mida ya SAA mbili usiku uwanjani ghafra kwa mbali tunamuonaa MTU kavaa nguo nyeupe alafu hana baraka sheaaa weeee nilitoka nduki break ya kwanza home nikamuacha sister wangu kaduwaa kwa mshtuko.

Alikuja kunihadithia alivyorudi kumbe alikuwa shehe anaenda msikitini kuswali ila akuvaa balakashia ndio alikuwa anakatiza kiwanjani kuelekea msikitini mwisho akalalama sana eti mm na roho mbaya nime
 
Acha nicheke hakika humu ni jf, upo sawa kabisa, tena unaweza kukuta mshua anakoloma balaa kisa jf
 
Weee mm si mpnz wangu ni dadaangu wa damu kabisa sitasahau nilikuwa nafanya mazoezi na sister wangu mida ya SAA mbili usiku uwanjani ghafra kwa mbali tunamuonaa MTU kavaa nguo nyeupe alafu hana baraka sheaaa weeee nilitoka nduki break ya kwanza home nikamuacha sister wangu kaduwaa kwa mshtuko.

Alikuja kunihadithia alivyorudi kumbe alikuwa shehe anaenda msikitini kuswali ila akuvaa balakashia ndio alikuwa anakatiza kiwanjani kuelekea msikitini mwisho akalalama sana eti mm na roho mbaya nime
Wakati unakimbia ulimwambia? au ulitimua vumbi peke yako, maana mambo ya usiku hata ndugu yako unaweza sema si mtu mwema
 
Na yy kaona yule MTU kila kwa mshtuko alikosa hata nguvu za kuki
mbia mm nikamuacha....ha ha ha karudi home analalamika nilichomjibu Dada yangu nakupenda sana ..lakini mwisho wa Siku kila MTU na kabuli lake sitaki udada kwenye mambo ya hatari mimi:)
 
Duh! Damu moja inatakiwa kusaidiana, lakini mambo yakiwa magumu basi ni kununua Toyo mpyaaa
 
Ilikuwa mkesha wa mwaka mpya (2015)mbeya demu wangu alikuja kunitembelea na rafiki zake wa kike wawili wakiwa na gambe za kufa mtu!!wakaniuliza gambe zinatosha nikajibu tuongeze tukatoka wote mpaka "pub"moja hivi karibu na ghetto nililokuwa naishi tukachukua vyombo chupa kadhaa ile tunavuka road tu mara paap difenda ya wazee hii hapa!!wote wakatuambia tuchuchumae...ile kutuhoji maswali afande akaamuru "haya poteeni hapa"...huwezi amini kila mtu alipita njia yake tukaja kukutana ghetto!!dah kidume nilidhalilika siku hiyo..!!lakini nilirudisha heshima katika gemu
 
Weee mm si mpnz wangu ni dadaangu wa damu kabisa sitasahau nilikuwa nafanya mazoezi na sister wangu mida ya SAA mbili usiku uwanjani ghafra kwa mbali tunamuonaa MTU kavaa nguo nyeupe alafu hana baraka sheaaa weeee nilitoka nduki break ya kwanza home nikamuacha sister wangu kaduwaa kwa mshtuko.

Alikuja kunihadithia alivyorudi kumbe alikuwa shehe anaenda msikitini kuswali ila akuvaa balakashia ndio alikuwa anakatiza kiwanjani kuelekea msikitini mwisho akalalama sana eti mm na roho mbaya nime
Uwanja wa sigara au? :) :p :p
 
Ngoja waje hii ndo jf, jukwaa pekee ambalo baba na mtoto wote huitana wakuu tena unakuta wote wamekaa seblen wanacomment huku mtoto akimla mshua biti za kutosha jf mwisho wa sku baba anamwambia mtoto samahan mkuu, huku baba akihamishia hasira zake sebleni "we pumbav badilisha chanel hio" kumbe kisa jf, looooh hk kzaz aliesalama ni mfu tu.
haha dogo ....badiĺisha...channel hahaha
 
Nyinyi wavulana wa mikoani mbona waoga hivyo
 
Weee mm si mpnz wangu ni dadaangu wa damu kabisa sitasahau nilikuwa nafanya mazoezi na sister wangu mida ya SAA mbili usiku uwanjani ghafra kwa mbali tunamuonaa MTU kavaa nguo nyeupe alafu hana baraka sheaaa weeee nilitoka nduki break ya kwanza home nikamuacha sister wangu kaduwaa kwa mshtuko.

Alikuja kunihadithia alivyorudi kumbe alikuwa shehe anaenda msikitini kuswali ila akuvaa balakashia ndio alikuwa anakatiza kiwanjani kuelekea msikitini mwisho akalalama sana eti mm na roho mbaya nime
Hufai walah hadi dada yako kabisa ungemshika tu mkono mkimbie wote
 
Back
Top Bottom