Abubakar Abdallah
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 281
- 170
. ..... Leo utuambie hapa utachukua maamuzi gani freemason kadata kwako au umedata kwake... Je utafunga nae ndoa?
Wewe umeolewa na Freemasons au?. ..... Leo utuambie hapa utachukua maamuzi gani freemason kadata kwako au umedata kwake... Je utafunga nae ndoa?
Du[emoji15]Kwahali yasasa ,watu wataolewa tu nawataoa tuuu .
Ila mradi rungu linasafishwa na maisha fresh.
Kuna jamaa aliwah sema ,,anaomba Jini limpende ,, sembuse Freemason ???
Wanapatikana wapi mkuu?Du[emoji15]
We unaitafsirije mkuuFree mason hii jamii mnaitafsiri kinjaa njaa na ulafi wa utajiri
Kikundi tu ila hakihusishi kupata mihela kirahisi kama mnavyowaza wale wanafanya kazi kama na kuhimizana kushika nyadhifa za juu dunianiWe unaitafsirije mkuu
Co pesa tu, vip kihusu imani wanazohusishwa nazo..Kikundi tu ila hakihusishi kupata mihela kirahisi kama mnavyowaza wale wanafanya kazi kama na kuhimizana kushika nyadhifa za juu duniani
hahaaaaaaaaaa...Kikundi tu ila hakihusishi kupata mihela kirahisi kama mnavyowaza wale wanafanya kazi kama na kuhimizana kushika nyadhifa za juu duniani
Co pesa tu, vip kihusu imani wanazohusishwa nazo..
Wanakuambia inabidi umwamini kiumbe mkuu, lakini hutajiwi ni nanAbubakar Abdallah
Mzee Yule msela wao aliyeaga mwaka Jana alisema wana sadaka, na taratibu zao "japo alikataa katu kutaja aina za sadaka , taratibu za sadaka na mambo ya ndani akaishia kusema ni siri ya ndani'
Ukiona jambo linafanywa kuwa siri Sana tambua pana konakona nyingi na sintofahamu za kutosha.
Ila kwa kifupi , wote ninyi yaani, anayeoa au kuolewa majanga hamtayaepuka"
Wanakuambia inabidi umwamini kiumbe mkuu, lakini hutajiwi ni nan
Kikundi tu ila hakihusishi kupata mihela kirahisi kama mnavyowaza wale wanafanya kazi kama na kuhimizana kushika nyadhifa za juu duniani
Kwanin wewe wasir ivo.... Apo kuna namnaAbubakar Abdallah,
Ndiyo hapo sasa.
Tena yule Mzee.Chande akasema wanahitaji 21+ years old pia wazee mno hawatakiwa isipokuwa kama uzee ukukute bado kiumbe aliye siri hajakunyonya mate na damu ndiyo utawaona wazee sana.
In short, fmason its a society full of myths and jargons
Kiukweli mpaka uwe umeingia Freemason nafsi yako itakuwa umeelewa huyo kiumbe ni nani,Wanakuambia inabidi umwamini kiumbe mkuu, lakini hutajiwi ni nan
hahaaaaaaaaaa...