Hatimaye amekubali nimtoe bikra ila masharti yake yananipa Kigugumizi

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Huyu dada toka nimemfahamu ni mwaka sasa nampenda naye anaonekana kunipenda ana umri wa miaka 23 na ni bikra mtoto mzuri kwa sura umbo na rangi ana kila vigezo vya kupendwa na wanaume 8 katika 10 nimekuwa siku zote nikimwomba ame ananinyima anasema yeye mpaka ndoa hataki kuguswa guswa tu na kuachwa.

Na sometime anakuja home tunafanya romance na namshawishi analegea kabisa anakuwa tayari lakini nagundua ni kwa vile anakuwa muda huo hajielewi so namwacha mpaka baadaye akikaa sawa anakuwa kama ndo amezinduka hivi nami nimejikuta nina huruma kwake.

Imetokea naye amekuwa akinipenda zaidi na zaidi na mwishowe jana jioni alinambia ana maongezi na mimi nikamwambia akimaliza vipindi chuo aje(yupo chuo flani hapa dar) akanambia amenifikiria muda wote huo amegundua ananipenda sana na yupo tayari kunipa bikra yake kwa sharti la kuwa tunawekeana yamini nikimla tu yeye nisije kutembea na mwanamke mwingine tena.

Na ikitokea basi mashine yangu ndo siku hiyo ife yaani niwe hanithi na akasema naye ikitokea aka cheat basi kule chini kwake kuoze kuwe kunatoa funza na asije pata hata mtoto au afe siku hiyo hiyo.so akataka tulishane hiyo yamini tena kwa kuchanjana na damu kabisa anasema yeye ana wivu sana hataki kunipa K yake ambayo ameitunza miaka yote hiyo then kesho na keshokutwa aje asikie au aone nina mwanamke mwingine.

Nikashtuka sana coz huyu binti anaonekana yupo serious kabisa na anamaanisha anachokisema baada ya hapo akanambia the Pussy is there she will keep it for me nichukue mwezi mzima nifikirie na kama nina mambo mambo yangu niyafanye nimalize tukapime then tuanze uhusiano kwa sharti hilo na siku hiyo nitakayokubali atanipa na hataninyima tena maishani (ahadi yake) sina shaka na mapenzi yake kwangu.ila hicho kiapo sasa.

Nawaza toka jana usiku je nikubaliane naye? ni dada mzuri sana ninampenda ingawa ni katoto kadogo kiasi kwa umri umbo analo zuri la kupendeza kabisa lakini je haitatokea nikapitiwa siku moja? je hivi viapo huwa kweli vinafanya kazi?yaani ikitokea niki cheat basi niwe hanithi? hapo ndo naona inataka kuwa noma.
 
Kula kwanza kama je si bikra kweli na tayari umeapa maan ukisema ni mtoto mdogo kwa umri ila kumbuka hata darasa la sita au saba msichana anashika mimba na anazaa itakula kwako unauziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Hamna kitu kibaya kama kiapo,ukizingatia wewe ni mwanaume,lolote linaweza kutokea mbeleni,hata kwenye ndoa Hamna kiapo cha namna hiyo vinginevyo ndoa nyingi zingepotea kwa kuwa na wanaume mshanithi, sina uhakika na athari za viapo ila Mara nyingi huwatunajaribu vitu tunavyokatazwa, kwa hiyo usikubali kiapo hicho, utajiskiaje ukipitiwa kisha ukawa hanithi? Kama unaingia kwenye hicho kiapo jipofushe kwanza macho ili usione wanawake wengine. Kila la kheri
 
Umemjuaje kama ni bikra na je ni Original? Mwambie akutibitishie mm nimeipenda maana Watu Wengi ni waharibifu sana
 
huyu dada toka nimemfaham ni mwaka sasa. nampenda naye anaonekana kunipenda. ana umri wa miaka 23 na ni bikra mtoto mzuri kwa sura umbo na rangi. ana kila vigezo vya kupendwa na wanaume 8 katika 10. nimekuwa siku zote nikimwomba game.ananinyima anasema yeye mpaka ndoa. hataki kuguswa guswa tu na kuachwa. na sometime anakuja home tunafanya romance na namshawishi analegea kabisa anakuwa tayari lakini nagundua ni kwa vile anakuwa muda huo hajielewi so namwacha mpaka baadaye akikaa sawa anakuwa kama ndo amezinduka hivi.nami nimejikuta nina huruma kwake.

imetokea naye amekuwa akinipenda zaidi na zaidi na mwishowe jana jioni alinambia ana maongezi na mimi.nikamwambia akimaliza vipindi chuo aje(yupo chuo flani hapa dar). akanambia amenifikiria muda wote huo amegundua ananipenda sana.na yupo tayari kunipa bikra yake kwa sharti la kuwa tunawekeana yamini. nikimla tu yeye nisije kutembea na mwanamke mwingine tena. na ikitokea basi mashine yangu ndo siku hiyo IFE. yaani niwe hanithi.na akasema naye ikitokea aka cheat basi kule chini kwake kuoze kuwe kunatoa funza na asije pata hata mtoto au afe siku hiyo hiyo.so akataka tulishane hiyo yamini tena kwa kuchanjana na damu kabisa. anasema yeye ana wivu sana hataki kunipa K yake ambayo ameitunza miaka yote hiyo then kesho na keshokutwa aje asikie au aone nina mwanamke mwingine.

nikashtuka sana.coz huyu binti anaonekana yupo serious kabisa na anamaanisha anachokisema.baada ya hapo akanambia the Pussy is there she will keep it for me nichukue mwezi mzima nifikirie na kama nina mambo mambo yangu niyafanye nimalize tukapime then tuanze uhusiano kwa sharti hilo.na siku hiyo nitakayokubali atanipa na hataninyima tena maishani (ahadi yake) sina shaka na mapenzi yake kwangu.ila hicho kiapo sasa.

nawaza toka jana usiku. je nikubaliane naye? ni dada mzuri sana ninampenda ingawa ni katoto kadogo kiasi kwa umri umbo analo zuri la kupendeza kabisa. lakini je haitatokea nikapitiwa siku moja? je hivi viapo huwa kweli vinafanya kazi?yaani ikitokea NIKI CHEAT BASI NIWE HANITHI? hapo ndo naona inataka kuwa noma.
Vipi ile kampuni yenu mumeshapata Partner wa kuendesha au bado unaendelea kuleta story za Bunuwasi?????
 
Kata funua mtoto wa kiume!! Acha kuogopa,
Kaka yako,niripofika Dom,miaka kadhaa iliyopita,wenyeji waliniambia ukitembea na dem wa kirangi,harafu ukamuacha,machine haitafanya kazi kabisa,mwanzo niriogopa,lakini niripokutana na dem wa kirangi,nikachek msambwanda,nikasema,,uchawi hauendi kwa mentali,nikapita nae!!,
Miaka 7 imepita,nimeishaoa uchagani,na hiyo dem wangu wa kirangi,ameishaolewa na bado ananitsfuta anipe gem tena,
Mzungu alogeki mdogo wangu,piga vitu,kama unampenda,valisha Pete kabisa,mbele ya Shekh,mchungaji au padri.
 
Bado mtoto huyo halaf hajui mambo ya kiapo yalivyo akikua hautamsikia tena akiongelea hizo mambo
 
Back
Top Bottom