Wanawake wasomi na wenye mafanikio hawaolewi

Nkonzi JR

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
324
Reaction score
195
Naomba kujua hili jambo je nikweri wanawake wasomi,au wenye nyazifa kubwa huwa wanaogopwa na mwanaume,na huwa hawaolewi kuna ukweri katika hili
 
Sio kweli. Wasioolewa ni kwa sababu nyinginezo lakini sio kwa sababu ya usomi wao. Unless utuambie usomi ni kuanzia level ipi?
 
Hawaolewi ama wewe ndio huwezi waoa!!!!

Kwahiyo wanawake wasomi wote hawajaolewa !!! Eleza vizuri hebu
 
Naomba kujua hili jambo je nikweri wanawake wasomi,au wenye nyazifa kubwa huwa wanaogopwa na mwanaume,na huwa hawaolewi kuna ukweri katika hili
Wanaolewa na wenye mafanikio zaidi yao..yaani mwanamke mwenye masters ya engineering anaolewa na mfanyabiashara mwenye pesa nyingi.. au fisadi moja lenye mkwanja wa kutosha
 
Simple, tafuta hao wasomi unaowaongelea na wenye mafanikio mahesabu kisha utapata jibu.
 
Naomba kujua hili jambo je nikweri wanawake wasomi,au wenye nyazifa kubwa huwa wanaogopwa na mwanaume,na huwa hawaolewi kuna ukweri katika hili
usiseme hawaolewi tatally bt some how possibility ya wao kuolewa ni ndogo ukifananisha na wanawake wasiokuwa wasomi na wenye elimu kubwa! hii ni kwa sababu wana loose chance ya kuolewa na wanaume wenye elimu ya kati na wenye mafanikio ya kati, cos hakuna mwanaume anaependa kuzidiwa na mwanamke iwe kimafanikio au kielimu so kadri mwanamke anavyo ongeza elimu au mafanikio ya kimaisha anapunguza idadi ya wanaume wakumuoa, cos wanaume walio weng wana mafanikio ya kawaida tuu so "Mwanamke mwenye elimu kubwa na mafanikio makubwa ana fursa ndogo ya kuolewa kuliko mwanamke mwenye normal success". Nimtazamo tuuuuuuuu
 
Ipo hivyo kwa asilimia 90 kwasababu nyingi
1)wanataka kuolewa na wenye mafanikio wenzao mara chache sana wakampenda mtu wa chini ndio tunaitaga zali la mentali na wanaume wenye mafaniko wanakwepa wanawake wa aina hiyo sasa msipokuwa wote wanaume ndani basi wote mtakuwa wanawake naamanisha kutakuwa kuna kutunishaina misuli.!

2)ukifanya utafiti mdogo hata kwa wanawake wanaotafuta hela zao au wanafunzi ambao wapo vyui vikuu ukimuuliza kwanini unasoma au kwanini unatafuta hela katika majibu yake jibu hili halitakosekana kuwa nije kuwa namaisha yangu nisije kunyanyaswa na mwanaume, so wao huwa tayari huwa wanaona mali zao kama ni silaha sasa ya kushindana na mwanaume jambo ambalo ni kinyume na maumbile na Ya Mungu kwa mwanaume mwanaume hakai na mwanamke wanaoshindana au anaetaka kumpanda kichwani

3)kama amekubali kuishi na mtu wa chini asilimia kubwa wao ndio wanataka wao wenye sauti sababu ana provide kwa sehem kubwa kwenye familia sasa hiyi kwa wanaune ni fedheha hata kama hana kitu hata wale marioo huvumiliaga mengi wengine hushindwa maana wanapigwa had makofi..ni swala la kimaumbile sio mfumo dume.!

3)wanaume kutokujiamin mbele yao wapo wanawake wamefanikiwa lakin hawachanganyi hela zao au elimu zao na mapenz wanampa mume heshima na ukuu wake lakin mwanaune anakuwa na ile kutokujiamin ikiwa wamepishana kauli kwa mambo ya kawaida anakimbilia kuona anafanya hivi sababu ana hela au kasoma na oia kwa vile hajiamin anaona watu a nje wanatona kama yey ndii kafungwa hata kama mwanamke anampa heshima zote za mume, so wanaume wanawakimbia hata hao wazuri..

Note: Tusisahau shetan yupo kazan kwenye hili kimaumbile mwanaume ameumbiwa hali ya umiliki na ndio ikaumbwa mwanamke awe chini yake sasa shetan ana harakari nyingi kuahakikisha mwanamke anakuja juu wawe sawa na mwanume ili aman itoweke kuanzia kwenye ndoa na pia ndoa zisiwepo uzinzi uendelee...wanasema "Mwanaume anapenda aliye juu yake (boss wake) na aliye chini( msaidizi wake) ila siku zote hupambana na ambaye yupo nae level moja"

Kikubwa ni wanawake kuondoka na mawazo ya kijinga ya kumtawala mwanaume haitakuja kutokea ukiona umemtawala mwanaume na una hela na yeye katulia ujue kuna kitu anafaidika nacho from you

Wateja wakubwa wa wanganga wa kienyeji kwenye maswala ya mapenz ni wanawake kote huko wanatafuta kumtawala mwanaume hata wasio kuwa na hela hilo nalo linawashughulisha sana...!
Wanaume tujiamin wapo wanawake waliofanikiwa wanatafuta aman ya roho tu na wala mali zao sio sehem ya maisha..!
 
Wanaolewa na wenye mafanikio zaidi yao..yaani mwanamke mwenye masters ya engineering anaolewa na mfanyabiashara mwenye pesa nyingi.. au fisadi moja lenye mkwanja wa kutosha
ha!ha!haaaaaa! umenena ukweli mkuu!
 
Hii thread imethibitisha jinsi ulivyo na upeo mfupi ..... na ni kweli hutoweza kuwa na mwanamke anayejielewa mwenye mafanikio !!!
 
Ipo hivyo kwa asilimia 90 kwasababu nyingi
1)wanataka kuolewa na wenye mafanikio wenzao mara chache sana wakampenda mtu wa chini ndio tunaitaga zali la mentali na wanaume wenye mafaniko wanakwepa wanawake wa aina hiyo sasa msipokuwa wote wanaume ndani basi wote mtakuwa wanawake naamanisha kutakuwa kuna kutunishaina misuli.!

2)ukifanya utafiti mdogo hata kwa wanawake wanaotafuta hela zao au wanafunzi ambao wapo vyui vikuu ukimuuliza kwanini unasoma au kwanini unatafuta hela katika majibu yake jibu hili halitakosekana kuwa nije kuwa namaisha yangu nisije kunyanyaswa na mwanaume, so wao huwa tayari huwa wanaona mali zao kama ni silaha sasa ya kushindana na mwanaume jambo ambalo ni kinyume na maumbile na Ya Mungu kwa mwanaume mwanaume hakai na mwanamke wanaoshindana au anaetaka kumpanda kichwani

3)kama amekubali kuishi na mtu wa chini asilimia kubwa wao ndio wanataka wao wenye sauti sababu ana provide kwa sehem kubwa kwenye familia sasa hiyi kwa wanaune ni fedheha hata kama hana kitu hata wale marioo huvumiliaga mengi wengine hushindwa maana wanapigwa had makofi..ni swala la kimaumbile sio mfumo dume.!

3)wanaume kutokujiamin mbele yao wapo wanawake wamefanikiwa lakin hawachanganyi hela zao au elimu zao na mapenz wanampa mume heshima na ukuu wake lakin mwanaune anakuwa na ile kutokujiamin ikiwa wamepishana kauli kwa mambo ya kawaida anakimbilia kuona anafanya hivi sababu ana hela au kasoma na oia kwa vile hajiamin anaona watu a nje wanatona kama yey ndii kafungwa hata kama mwanamke anampa heshima zote za mume, so wanaume wanawakimbia hata hao wazuri..

Note: Tusisahau shetan yupo kazan kwenye hili kimaumbile mwanaume ameumbiwa hali ya umiliki na ndio ikaumbwa mwanamke awe chini yake sasa shetan ana harakari nyingi kuahakikisha mwanamke anakuja juu wawe sawa na mwanume ili aman itoweke kuanzia kwenye ndoa na pia ndoa zisiwepo uzinzi uendelee...wanasema "Mwanaume anapenda aliye juu yake (boss wake) na aliye chini( msaidizi wake) ila siku zote hupambana na ambaye yupo nae level moja"

Kikubwa ni wanawake kuondoka na mawazo ya kijinga ya kumtawala mwanaume haitakuja kutokea ukiona umemtawala mwanaume na una hela na yeye katulia ujue kuna kitu anafaidika nacho from you

Wateja wakubwa wa wanganga wa kienyeji kwenye maswala ya mapenz ni wanawake kote huko wanatafuta kumtawala mwanaume hata wasio kuwa na hela hilo nalo linawashughulisha sana...!
Wanaume tujiamin wapo wanawake waliofanikiwa wanatafuta aman ya roho tu na wala mali zao sio sehem ya maisha..!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Sina nyongeza Mkuu.

Umemaliza mambo yote. Kila kitu umeongea.
 
Back
Top Bottom