Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 812
Habari zenu wana Jf,
Inasikitisha kidogo lakini ndio mambo ya duniani.
Huyu kijana alioa kwenye familia moja ya kitajiri kiukweli katika familia ile mabinti wa yule Mzee hawajui shida ni nini,Kuna mabinti wa 5 wa 4 wameolewa na wanaume wanaojiweza (wenye pesa zao)mdogo wao wa mwisho ndio kaolewa na fukara kiasi kwamba mtoto anapauka hadi mafuta anakosa,kulala na njaa ndo usiseme,binti alijitaidi kuvumilia kutokana na yeye ndie aliempenda mshkaji sana.Uvumilivu ulimshinda ilibidi binti arudi nyumbani akahadithia yote yaliomkuta Baba na mama waliumia sana kitendo kile cha binti yao kuteseka.
Basi jamaa baada kama wiki kapigapiga deiwaka zake kapata visenti ilibidi amfuate mke wake...Daaah!aisee jamaa hajaamini ile anafika tu Mzee kachomoa bastola anataka mtandike risasi.mpaka hivi sasa hatujui jamaa kakimbilia wp ni wiki ya pili sasa.
Wewe kijana wa kiume usishobokee watoto wa kishua achana nao waowane wao kwa wao oa maskini mwenzako.