Natangaza wazi kama wewe msichana ni mshabiki wa CCM hapa JF usiniombe hela SITAKUPA

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,565
15,920
Habari.
Jamani ujumbe ndio huo nadhani wahusika watakuwa wameupata sina haja ya kuongea mengi.

Jumapili njema!
 
Huwa unagawa pesa? Wanawake wa ccm hatupewi pesa ovyoovyo,tunazitafuta wenyewe
nasaidia marafiki wenye mrengo wa mageuzi ya kisiasa na kichumu hapa nchini kwetu. siwezi kusaidia mtu analia njaa huku anaipigia debe CCM. sorry hawa niliokutana nao hapa tumeshindwana kwa sababu hiyo.
 
Back
Top Bottom