Hivi kuna uhusiano gani hapa?

Hivi kuna uhusiano gani hapa?

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,026
Reaction score
5,771
Hapo vip!!
Mimi katika research zangu nimegundua wanaume handsome na beatifuly au Pretty girls hawana roho mbaya (roho ya zakitatili)

Katka research zangu nimegundua sura ya mtu inaweza ikareflect na roho yake ilivyo.

Watu wenye sura nzuri Duniani yaani handsome mens ni watu.
1.watu wastarabu wanaopenda amani, wenye busara na hekima.
2.Hawapendi shida.
3.Wanapenda amani sana na wanaroho ya uruma.
4.si wababe.
Mfano angalia viongozi hawa itawala wao.. Clinton vs George Bush,Oboma vs Trump.
Milton Obote vs Iddi Amani Dada.
Huku pengine mimi sipo.

Kwa wanaojua wahandsome haswaa na pretty girls na umeshakaa nao ninaimani umeona ka ukweli.. Hapa sizungumzie u beautiful na handsome unaetafutwa kwenye makopo, na maanisha wale OG.. kabisa.
 
Unishoo ni ni life style ya mtu. Wako ma hb na sio mabishoo. Yaan ni hb lakin hb mwenye akili, sio hb maonesho.
Tunakwenda na mifano Mkuu..!
Unaweza kusema mtu kama Makonda ni moja wa Ma-hb ila Majembe..

Wataje na wengine, LeMutuuz (le Bebez) Polepole, Wasira...

Endelea..
 
Ni watu ambao hawana akili ktk maisha yao,wanafanya vitu vya kipuuzi mno.na hupenda mremk,wana tabia zinazo kinai saaana
 
Ni watu ambao hawana akili ktk maisha yao,wanafanya vitu vya kipuuzi mno.na hupenda mremk,wana tabia zinazo kinai saaana
Wengi hua wanafanikiwa na research inaonyeshe pesa zinawafuata na sio wao wanafuata pesa..
 
Hii wiki wamekuwa na bahati sana hao Mahandsome yaani kila sehemu wanasifiwa tu.

Ila sidhani kama kuna uhusiano na hicho ulichokiandika.
 
Hii wiki wamekuwa na bahati sana hao Mahandsome yaani kila sehemu wanasifiwa tu.

Ila sidhani kama kuna uhusiano na hicho ulichokiandika.
Hata kama kwa research hauwezi kuona, hata picture yanonekana but infact kuna ukweli kabisa hata katika maisha ya kawaida sijawahi kukutana na watu aina hii wenye roho mbaya.
 
Hata kama kwa research hauwezi kuona, hata picture yanonekana but infact kuna ukweli kabisa hata katika maisha ya kawaida sijawahi kukutana na watu aina hii wenye roho mbaya.
Usijali Mkuu endelea kuamini unachokiamini ila mie kwangu ni NO.

Wapo wenye sura za kawaida na wana roho nzuri hatari na wapo hao sijui ndio warembo kwako na wana roho mbaya kuliko. Hivyoo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom