Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,729
- 8,807
Wanawake wa kibongo wengi wana roho mbaya,wabinafsi,wamekosa utu
Unamkuta mwanamke hana kazi yupo yupo tu unamwoa unamtafutia biashara anaifanya anafanikiwa mwisho wa siku anaanza kugongwa nje na kukudharau,anafanya mambo yake kimya kimya kupitia biashara uliyomfungulia wewe.
Wanawake wa kibongo wakiwa na hela na kazi nzuri na wewe mwanaume huna kitu basi atakutangaza kila kona ya Nchi hii,refer Joyce Kiria na Kileo ,hii ni roho mbaya,ubinafsi
Mwanamke wa kibongo akikupa hela atataka ujue umeitumiaje,wakati sie wanaume unampa hela mwanamke wako/Mke na humuulizi kaitumiaje
Wanaume tunaweza kuoa na kuishi na mwanamke asiye na kazi zaidi ya miaka 100 na jamii isijue kama Mke wangu hana kazi,lakini mwanamke kuishi na mwanaume asiye ajiriwa dunia itajua ndani ya masaa machache tu
Mwanamke wa kibongo akiwa na laki 2 ndani nawe mwanaume ukawa na laki 3 usihesabie kama mna laki 5 hesabia mna laki 3 tu,ile 2 ya mwanamke anailetea ubinafsi ni Mali yake peke ake
Ukiwa na hela utapendwa na wanawake wengi ukiishiwa wanakukimbia hii ni roho mbaya zaidi ya ile ya shetani
Kina Dada roho mbaya haifai acheni hizo roho zenu mbaya zilizojaa ubinafsi[emoji41] [emoji41] [emoji41]