Ni ngumu mwanamke kukataa mwanaume mwenye uwezo mzuri kiuchumi

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Ni ukweli usiopingika kwamba katika hatua fulani ya kuolewa mwanamke huchagua sana wanaume. Kibaya sana ni pale mwanamke kushindwa kumkataa mwanaume mwenye uwezo mzuri kiuchumi na hufikia hatua mpaka mwenyewe anataka kuforce au kuharakisha ndoa

Kuchagua sio kubaya maana mwanamke hatopenda kuishi maisha na mtu ambaye hajaendana nae au kuridhika nae.

Ila kosa kubwa linalofanywa na dada zetu hawa ni kuangalia hasa hasa upande mmoja yaani uwezo wa kiuchumi (Financial Status) wa muoaji ilhali bila kutambua kwamba maisha yanakuwa mazuri sana pale mnapoanza kutafuta wote kwa pamoja yaani wote muanze hamna kitu na mkifikia mafanikio hata huyo mwanamme anakuwa na Heshima kwako kwamba mmetafuta wote.

Wanawake wananyanyasika kwenye ndoa/mahusiano yao kwa sababu anamkuta mwanaume ana kila kitu so ni ngumu kuona thamani yako maana anajua He can without you.

Jifunzeni katika hili dada zangu msipende sana mtelezo maana mtateleza vibaya.

NB: Nina Financial status Nzuri tu!
 
IMG-20170820-WA0002.jpg
 
Tatizo ni pale mnatafuta wote kwa shida afu mkizipata,mwanamke mwenzio anakuja kuzila kiulaini bila kutoa jasho

To me,azitafute tu nmkute nazo kwa kweli,mwanaume atakudharau kama wewe huwezi zalisha za kwako..mwanamke awe na kazi nzuri anaweza jihudumia afu mwanaume akudharau?!!
Mwanaume anamdharau yule alokaa nyumbani kanyoosha miguu anasubiri kuletew...

Kila mtu akiweka mkate mezani lazma mheshimiane!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom