Hapa ndipo ninaposhtushwa na uwezo mkubwa walio nao wanawake wakiamua jambo

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Hii ni kama mara ya 7 hivi nakutana na tukio kama hili. Wanawake wakiamua ni smart sana kichwani. Mpaka waamue. Mwka jana mwishoni nlikuwa karibu na dada mmoja tukawa tunadate.alikuwa na wivu uso na kifani.simu yangu nliiweka password maana huwa sipend wasichana kadhaa wanachukua namba ya mother au akina sister na kuanza kujenga ukaribu nao.

So mara zote naweza password kwenye simu. Yule dada kumbe alikuwa na hamu sana ya kujua kwa nini naweka password.binafsi sikuwah shika simu yake hata mara moja.yeye hajaweka password.na huiacha tu anywhere kwa uhuru.basi kumbe kwa siku zile anakuja kulala kwangu( week nzima) ilikuwa yeye ame concentrate na password yangu akiifanyia mazoezi.

Napoingiza sikujua aliwezaje kukariri ingawa huwa najificha. Siku ya nne nipo naye nlipokea simu toka kwa dada mmoja ofisini.anasema nmempa simu mpenzi wangu ampigie kumtukana.kisa huyo dada alituma text akisema " Hi Dear i miss you" anasema alitukanwa usiku wa manane.

Kumbe yule dada alifanikiwa kuingia kwenye simu yangu na kukuta ile text.na usiku huo huo akaamka na kwenda sebuleni akamwendea hewani akamsema sana.kisha akadelete call na namba ya yule dada.

Akarudi akalala.nlipomwona anarudi nilimwuliza vipi usiku huu.akanijibu alienda jikon kunywa maji.

Leo jamaa yangu kanipigia simu anasema mke wake aliweza kugundua password zote mbili tofauti na kuaccess simu yake. Huko alikutana na vimeo kadhaa ambavyo aliamua ku deal navyo yeye mwenyewe kimya kimya.jamaa alikuja tu kupata feedback toka kwa vimeo vyake kuwa mke wake kawatishia hali mbaya kijamii na kiuchumi ikiwa wataendelea kutembea na mumewe.

Jamaa alishindwa kumuuliza mkewe, alishindwa afanye nini.na mkewe hajasema lolote. Jamaa yangu sasa anaishi kwa mashaka maana hajui mkewe anamwazia nini.ushahidi wote anao.ila amenyamaza.

Nikawaza.nyie akina dada mpo smart ila sometime basi tu. Akina dada mnaweza sana upelelezi.hata mkitaka umbea mnapata.kwa nini ujuzi huu msiutumie kwa maslah ya taifa? Nmeshtushwa sana na uwezo wenu wa kukariri passwords kwa haraka sana na kutunza kichwani.
 
Hahah aisee me huwa nawish hii acces ya Touch ID kwenye simu kusingekuepug na option ya namba ingekuepugi raha sana..maana hamna kitu naficha kama pasword yangu ukiachia touch id..kama yupo karibu bora niache cm endapo ikagoma kutouch.
 
Hamna haja ya kupigana na mwanamke Mwenzio Yaani wewe walianzisha Kwenye Simu, alafu watulia tuli wa gombane wenyewe Mchepuko na mume hapo unammaliza kiakili3
 
Mi nadhani kuna mtu anatumia id yako ama huyo dada ndo kaandika hii thread......
 
Kalambe tu limao au ndimu utamaliza kichefuchefu. Hiyo hali si ngeni kuna dada mmoja naye alikuwa ofisin alipokuwa na hali kama yako alikuwa ananichukia sana... Akiona tu barua yangu anakasirika.alipojifungua amekuwa my best friend
UNAMWANDIKIA NANI VIJEMBE HIVO PIMBI WEWE!!? IZO KAULI ZA KUSUKWA NYWELE WAAMBIE SHOGA ZAKO..FAGGOT!!
 
Nilikua naiba simu ya bby usiku nasoma message nafuta na wala simuulizi wala simkasiriki. Najua nikishafuta atagombana nao mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom