Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Profesa mmoja wa Chuo Kikuu kimoja hapa nchini, amemfelisha mkewe katika moja ya mitihani yake ambayo Profesa huyo ndio somo lake.
Wenzie walipomuuliza alijibu tu kwa kifupi kwamba anajua mkewe ni mzembe maana hasomi, zaidi ya kuangalia luninga.
Yasemekana Profesa huyo ni mtu mwenye misimamo ya kweli na dhati na hata rafiki yake mmoja aliwahi kumpigia simu ili ampaishe mwanaye lakini Prof alipopokea tu na kujua swahiba wake ana mtoto hapo alimwambia mwanao hana akili kabisa na 'hasomi' na baba kuishiwa cha kuendelea.