Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,113
Salama wakuu,
Leo nimeona niseme tu ukweli maana inakuwa Kama ni desturi sasa.... Huyu brother ni Kama ndoa yake Haina changamoto na siku zote za mwaka yeye yupo peponi. Kitu ambacho naamini sio kweli coz hata baadhi ya manabii na mitume walikutana na mabalaa tofauti kwa kuishi na hawa viumbe(wanawake).
Kwa huyu mwenzetu yeye amekuwa Kama ndo SI Unit ya wanawake kupima kuwa wanaume tuna upendo namna gani kwa wake zetu.... Hakuna siku hata moja amezungumzia mabalaa yake ya kwenye ndoa, yeye kila siku ni kuwasema wanaume wenzake tu.
Hatulali, hatuamki..... Utaskia unaona mwenzako kasemaje leo??? Ukiangalia anaandika ma vitu ambayo hata hakuna anayeweza kuyatimiliza na sidhan Kama hata yeye anaweza kuyatimiza..... Ni mchanganyiko mtupu
Leo atasifa mgegedo,
Kesho atasema Unadhani Mkeo kafwata mgegedo,
keshokutwa atasema mletee zawadi,
Mtondogoo atasema Unadhani alifuata zawad.. Basi almradi tafarani...
Mauki Kama wewe psychologist Hebu Kaa Kati, huwezi jua ni kwa Kiwango gani umeathiri ndoa za watu kwa porojo zako. Tungekuwa hatuna misimamo, ndoa nyingi sana zingekwanyuka....
NB: haya ni matokeo ya utafiti mdogo nilioufanya kwa wanandoa na hasa wanaume, tunapokuwa vikaoni jioni.