Nawish sana kuja kuoa mdada kutoka Kenya

Nawish sana kuja kuoa mdada kutoka Kenya

Nenda mombasani kuna wakora kibao wanabonga sheng izo wataka, watakuoa
 
Mimi ni Mtanzania, lakin hakuna kitu huwa kinanifanya napagawa sana kama kumuona mkenya anazungumza kiswahili ambacho kina Sheng za kutosha ndani yake. Naipenda sana sheng ya wakenya na ili kuweza kuenjoy zaidi na zaidi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana wa channels za kenya especially KTN na Maisha magic na pia Nimejisubscribe na Youtube channels nyingi sana za wakenya.

Napenda sana wadada wa kenya vile wanakuwa wanabonga na wanaume zao wakiwa kwa relation. Na hili ndio jambo lililoofanya nifikie hatua ya kuwaza kuja kuoa mkenya, sababu naamini moja ya vitu ambavyo vitakuwa vinanipa furaha sana ni kuongea naye au kumsikiliza tu vile akiongea. Naamini kwamba hii itakuwa ni furaha kubwa sana kwangu maana hata marafiki zangu wananijua vizuri sana nilivokuwa affected na Hiyo sheng.

I'm 25 now and am in Dar es salaam, kama kuna Kenyan girl yoyote ambaye yupo interested naomba tu aje PM au anicheck kwa email anaonymousj210@gmail.com maana naona uvumilivu unanishinda. Am waiting for u msupa.

Jiunge na badoo alafu set location yako ionyeshe uko Nairobi mtandao utakuletea hawo unaowatafuta.

Siku hizi dunia mzima ipo kiganjani sema inabidi uwe makini unapoingia kwenye mahusiano na mtu ambaye humfahamu kiundani na pia ni vema ukifanikiwa kuopoa, uchukue muda wakutosha kumchunguza kabla ya kufanya commitment ya aina yoyote!
 
Hiyo email yako haitawatishia mkuu?? Anonymous si watu wasio julikana??
Hahahah.... email zangu zote zina identity yangu mkuu. Siwezi kudisclose info zangu huku. ndo maana nmetumia hiyo
 
Umejaribu kuangalia faida na hasara zake we dogo? Kumbuka wanatoa kichapo cha maana kwa waume zao
Nalitambua hilo vizuri sana. Lakini what somebody told me is, siyo makabila yote wako hivo. Am ready for the consequences
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom