Natamani kumpiga mke wangu, ni sahihi?

Natamani kumpiga mke wangu, ni sahihi?

Sio sahihi kumpiga, endekea msusie na wewe hata ndani ya miezi 2, ukimya ni sumu ebu mpotezeee hata shipa usimpe, mtenge kwa mda madam kwamba anakazi watoto sanakula sio mbaya, kuwa risk taker ili mambo yaende ,huenda hiyo weakness keshajua ndo mmana anakukamata kiulaini ,ebu Fanya wonderful na yeye ashangae
 
Wanaume nyie ni special group aisee. Sasa wewe una wake 2 sasa eti!!! Mkeo Mungu amsaidie maana mume hamuwazi anaendeshwa na mchepuko mke.

Kizuri ninatimiza nguzo zote. Mimi sio mtu wa kudaka daka barabarani na ninaamini katika kuwa na vituo vinavyoeleweka. Bi mkubwa tyr ana maisha mazuri na wanae. Nilikuwa tu najenga msingi kwa huyu mdogo kuepusha matabaka.
 
Utajisikiaje hao wake zako nao kila mmoja awe na ka mchepuko permanent ili kufidia wanavyovikosa kwako???
 
Sio sahihi kumpiga, endekea msusie na wewe hata ndani ya miezi 2, ukimya ni sumu ebu mpotezeee hata shipa usimpe, mtenge kwa mda madam kwamba anakazi watoto sanakula sio mbaya, kuwa risk taker ili mambo yaende ,huenda hiyo weakness keshajua ndo mmana anakukamata kiulaini ,ebu Fanya wonderful na yeye ashangae

Thx..nimeanza akiniita naomba nifanyie hiki namwambia nina kazi nafanya...au nisindikize pahala..namwambia niko tit i ama not available...nadhani itawork mkuu
 
mpige makofi tu
usipaogope polisi we mpige tu

wangu kuna style nikimuangalia anarudi nyuma na kuaga kabisa
naweza kumchorea mstari kisha namwambia ukivuka huo nakuvunja
havuki hata siku nzima

Unapiga mchepuko?? Waachane tu arudi kwa mkewe
 
Ndugu wanabodi mwenzenu yamenikuta. Miaka kama mitatu inaenda minne sasa nimezaa watoto wawili na dada mmoja wa baba mmbulu na mama wakibosho. Wakati ninazaa nae anatambua fika nina mke na maisha yakaenda. Kimsingi yeye ndio kama alikuwa ananitongoza tangu udogo wake maana nimeanza mfahamu yuko kidato cha pili japo nilidate nae akiwa mwaka wa 2 chuo kikuu. Alipata ujauzito akiwa mwaka wa 2 kwao wakamsusia mimi nikamsaidia akamaliza chuo. Kwa sasa Kamaliza chuo huu ni mwaka wa 2 na sasa nimemfungulia biashara na anafanya vizuri tu.kimsingi ana juhudi sana ya kazi.

Tatizo kubwa nililonalo.nae ni kiburi na kauli chafu. . Mara zote amependa kushindana na mimi. Hata akikosea hataki kushuka. Kimsingi ni wale wanawake wanataka saa zote wawe juu ya wanaume. Kwangu mimi na.yeye haiishi wiki bila kugombana. Mara nyingine inatutokea tuko pub au club na siku huharibika kabisa. Wafanyakazi wote wadada wa nyumbani kila mara huwa wenye huruma na mimi kwani wanaona kabisa kuwa yeye ana matatizo.

Kinachonitokea ni kuwa kila.kauli yangu lazima aigeuze iwe mateso kwangu. Kila jema ninalomfanyia lazima nilijutie kwa kuwa kuna muda nitasikitika kwanini ninajitoa muhanga hivyo kumpromote na mambo yake na nimeaxha mengi ya kwangu na ya familia kubwa yakilala.

Tukitofautiana ndani ya muda mfupi hulia sana na hukonda ghafla. Inawezekana anapenda kuwa ndani ya uhusiano japokuwa kila mkikaa muda kidogo lazima tena mpishane kauli.kisha mnapotofautiana kwa muda mfupi humtafuta kwa kaka yake mmoja msomi na huongea kwa kirefu.nahisi huwa wananiongelea. Kimsingi hata kwenda kwao nahisi sio fresh kwa kuwa kwa kweli nahisi nashindwa kummanage.mie ni mtu mzima so Nisingependa kujitokeza kwa wazazi wao kisha baadae nisionekane.

Nina miaka 44..yeye sasa ana miaka 29. Kwa kweli nikiri sio muhuni wala sio malaya. Tatizo lake ni kukosa kujitambua na kuchagua maneno ya kusema akiwa na mimi na kukosa shukurani.

Ili kumdhibiti hapa katikati nilodhani nimsusie na ninaendelea na hii strategy...kwamba nisiwe too available kwake...but kila.mara kazi anazofanya zinahitaji niingilie kati kumkwamua from time to time....so ukizingatia mimi ni mentor wake ziwezi kuzipotezea..kazi hizi hutufanya tunajikuta tunakuwa wote from time to time though nimeanza kumpa.airtime ndogo na kuconcetrate zaidi kwenye kazi zangu. Huwa tunapanga biashara na kufanya kwa mafanikio ila yeye mwenyewe anatambua akipishana kauli na mimi.mambo yake mengi hukwama na huja.kuomba msamaha...kuna wakati huwa nawaza nimuache afanye shughuli zake independently..yaani nisishirikane nae kikazi ili awe na autonomy yake na nifanye program zangu mimi kama mimi ili nisipoteze nguvu.....of course nimeanza kidogo kidogo kujitoa kuita biashara zake kuwa ni zetu.....japo yeye hungangania kuwa ni zetu......Kwa upande wangu nahisi teyar nishatekeleza wajibu wangu kwa maana pale alipo sio mtu wa kuomba mkate barabarani wala kupanga nyumba. Kuna wakati huwa namuuliza je kuzaa wote ni mkataba lazima muwe wapenzi? Je haiwezekani mkalea watoto tu na kila.mtu aendelee na maisha yake? Kuna wakati namuonea huruma tena na hasa wanangu ambao wananipenda sana.

Kuna jambo moja natamani kulifanya na pengine nahisi litasaidia. Nataka siku moja tukipishana nimtandike vibao vya kutosha ili awe na adabu akiwa anaongea na mimi. Nataka.chukua approach ya kupiga.nikishindwa hio basi nadhani sasa kila mtu ataendelea na maisha yake.nataka.kufanya hivyo ili kurestore maisha ya watoto na yeye mwenyewe. Je ni njia sahihi? Mara nyingine huwa nawaza je ana matatizo ya akili maana mara nyingi watu wengi wenye akili nyingi za darasani kama yeye (ni first class material) huwa wana matatizo ya kufafanua na kutafsiri vitu vya kawaida vya maisha. Au yeye ni wale wanawake wameumbwa kuishi single? Maana huwa naamini wanawake wengi wenye msuli wa kupambana huwa hawana unyonge wa kumuhitaji mwanaume? Au njia sahihi ni ipi? Au niendelee na huu.mkakati wa kusogea mbali nae? Wadau naomba ushauri. Tuanzie hapo.
Una matatzo kama yangu hakuna tofauti ata kdogo.yaani hawa wanawake niwachache sana walio waelewa huwezi tofautisha msomi na asie msomi.nakushauli usimpige unaweza leta kesi bule ukaja jutia badae.

Muamzi niwewe hakunaga ushauli wa mapenzi.
binafsi nisha amua kupiga chini natafta mwingine Maana hakuna namna.
 
Tena ndio nilimshauri kujiuna na degree ya sheria LLB basi ndo anatumia hio hio kunyanyua mdomo na mimi..yeye sasa ni mwanasheria.we acha tu....
 
Unapiga mchepuko?? Waachane tu arudi kwa mkewe

Sio.mchepuko.mama..ni.mke na tuna watoto wawili kwa nini huelewi? Michepuko ni ile ya kukojoleana tu nankitembea na yesu. Mimi.ni mtu nina majukumu mengi na kazi nyingi sina muda wa kutembea na wanawake wengi kama waume zenu wengi walivyo. Naamini pia ni nuksi katika maisha. Msimamo wangu wake zangu wote wanaujua
 
Pole sana mkuu hawa viumbe basi tuu naukimuacha ndiyo wa kwanza kujamu nakuomba kurudiana nakuapa hatokaa arudie upuuzi. kama umezaa nae tunza watoto. Mwana mke wakibesi siyo mwanamke huyo.
 
Sio.mchepuko.mama..ni.mke na tuna watoto wawili kwa nini huelewi? Michepuko ni ile ya kukojoleana tu nankitembea na yesu. Mimi.ni mtu nina majukumu mengi na kazi nyingi sina muda wa kutembea na wanawake wengi kama waume zenu wengi walivyo. Naamini pia ni nuksi katika maisha. Msimamo wangu wake zangu wote wanaujua
Kamwambie mkeo mkubwa pia haya maneno
 
Back
Top Bottom