Mara nyingi wazazi tunakuwa na mvunjiko wa moyo pale Watoto wasipofanya yale tuliyoyategemea kutoka kwao. Labda ni kwakuwa hatuweki wazi tunayoyategemea kutoka kwa watoto wetu.
Mtoto anaamka...
Bila shaka m-salama sana!
Kuna aina nyingi za kuelezea Usaliti/Uongo katika mahusiano,lakini zadi ni kitendo na hiali kinachofanywa na mtu mwenye lengo na nia ya kupata au kujifaidisha au...
Habari zenu wakuu nimeamua kuandika huu uzi ili nipate kutambua na niweze kumweka wazi huyu ndugu yangu
Niko na ndugu yangu he is 20 years old lakini hakuwahi kushiriki katika mahusiano ya...
Wengi wetu tulianza ku date A-level, Mkaka mlikutana kwenye school disco au kwenye train mkiwa mnarudi shule. Enzi zile hakuna simu wala internet mawasiliano ilikuwa ni kwa barua.
Assembly...
Hivi mf; umezaliwa kibamia ndio ukate tamaa je zamani mbona waliooa na hakukata tamaa? Wana watoto na familia ujue ukiwa na kibamia penda kujua style ambazo kibamia chako kitamfikia muhusika...
Tofauti ya kulala na mdada kwa mara ya kwanza na tofauti ya kulala naye baada ya mwezi au mwaka nini?
Kiukweli sielewi naomba mnieleze labda mimi nipo tofauti.
Nitashukuru kwa huu msaada nikipata...
Wadau wa JF nawasalimu,
Mimi ni kijana mgeni kwenye jukwaa hili, nipo hapa mjini DSM, mpambanaji japo elimu yangu ya kawaida, nimefanikiwa kupata degree moja kwenye mambo ye afya. Umri 26.
Back...
Two months ago kuna msichana alikosea number na kunipigia simu. Baada ya maongezi mawili matatu akaanza nirushia shida zake.
1.Nitumie nauli nije kwako.
2.Nitumie zawadi ya mwaka mpya.
3.Sina simu...
habar wandugu humu mjengoni
Bila kupoteza mda niende kwenye point
Ni hivi ni mda mrefu sna sjapata mtu wa kumgegeda na ugwadu ukawa mwingi sna mwilin
Kama kawaida yetu wanaume nikawa na hunt...
Hapo juzi kati nlipata manzi flani hivii nkampendaa sanaa aisee...huyu manzi anaishi na dada akee sasa baada ya dada ake kuona nipo naee akaamua kumpiga manzi akatoroka akaja getoo... Sasa si ndo...
Ninarafiki wa karibu sana anakaribia kufunga ndoa, sasa ananiweka mimi katika wakati mgumu, kwanza mchango wangu anataka nimchangie laki1 na miaka 3 nyuma nilimkopesha laki 1 hakuurudisha mpaka...
Jamani wana jamii nimejitokeza mbele yenu nami nahitaji mwenza wa maisha ambaye anajitambuwa na kujielewa awe wangu wa maisha na ikimpendeza Mungu ndiye atakayekuwa Mke wangu.
Sifa zangu mimi...
"Mke wangu, watu wote wameenda nyumbani kwao , mziki umezimwa, shamrashamra zimeisha. Harusi yetu ilikua nzuri mno ila sasa imepita. Tumemaliza harusi sasa ni muda wa kujenga familia yetu...
Kuna katabia kamezuka miaka ya hivi karibuni kwa wanawake wajawazito Wakitanzania (na hata sehemu zingine za Afrika) wakifikia karibu na muda wa kujifungua wanaenda Marekani. Tena wengine utakuta...
Nafikiri zamani watu walikuwa motivated kuoa kwa sababu kuna vitu bila ndoa ulikuwa huwezi kuvipata!
Pia kwa Miaka ya nyuma wanawake hawakuwa wanaharakati kiasi cha kutunishiana misuli na mwanaume...
Mi nimeowa mke kutoka vijijini Hadi leo nimedumu nae miaka 13 Hajawahi nisonya wala sijui Ugonvi au mapigano yakoje ndani ya ndoa yetu. Poleni mlio owa mijini.
Leo ngoja niseme tu yaliyomo moyoni
Mimi ni kijana na kama umri wa miaka 22 mtafutaji mishe mishe za hapa kwa umri wangu bado sijajijenga kiuchumi
Nakama mnavyojua tena mapenzi ya sasa bila hela...
Habari hapa nilipo niko na picha ya mke wangu akiliwa mate na lijamaa na nyingine wakiwa kitandani tena akiwa amelegea.
Nimetumiwa na mtu niseyemfahamu kutoka Oman tena ananiambia ni picha za...
1: KAULI
Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke akimwambia mwanaume wakati au baada ya tendo kuwa...
Michepuko sio dili hili nalikubali kabisa na wala sio ujanja mana uhuni sio sifa mimi na umri wangu huu miaka 27 natakiwa kuwa na mke ila michepuko imeniandama na wala situmii hela inakuja yenyewe...