Habari zenu wakubwa na wadogo. Huu ni ujumbe Kwa Wasichana Wazuri na Warembo, Ni Muhimu Kufahamu Hivi !
Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume...
Wakuu kweli inahuzunisha pale mwanamke anapojidhihirisha kuwa na yeye ndiyo wale wale wa kinyume na maumbile hasa wanapojaribu kumzalimisha mwanaume asiyejua hayo mambo afanye hivyo watakavyo na...
Enyi Dada zangu / zetu mliopo humu naomba leo mnisaidie Mimi Kaka yenu GENTAMYCINE kumaliza huu ' ubishi / ligi ' ili niwe na amani ya moyo. Je ipi ni ' ahueni / nafuu ' Kwenu Kimapenzi / Kimahaba...
Mimi nilipata tatizo la macho wakati nipo kidato cha tano mwaka 1995 baada ya kupata ajali ya gari na kichwa changu kugonga kioo cha mbele kutokana na kutovaa mkanda na kupelekea vioo kuingia...
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mola kwa mitihani hii mizito nitakayoielezea hapa iliyonikuta katika harakati za maisha na mpaka leo hii nimebaki mlemavu wa maisha.
Pili nichukue nafasi hii...
Am a Kenya from Mombasa single, am here searching a lady from Tanzania especially from Tanga ikiwa atakuwepo because we share some common tradition i being a Digo. Am 28yrs of age, holding BCOM...
Miezi kadhaa iliyopita kwa uungwana kabisa nikaja humu kuomba nisaidiwe kupata mchumba nashukuru kuna wadada waungwana kabisa wakajitokeza na wengi niliwapa majibu stahili kuwa am sorry singeweza...
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 31,nina mpenzi wangu tumedumu nae kwenye mahusiano takribani miaka miaka 3,sasa umefika wakati mimi na yeye tumeona ni wakati muafaka wa kuishi...
Uko Katika gest house Tanzania ,Korogwe mwanamke ameweka mtego na kumnasa Mme wake na hawala ndani ya gest , baada ya kuchomeka ubalaa ukagoma kuchomoka, na masharti mpaka Mke afike,
Wakuu habarini za jioni,
Kuna swali linanitatiza akili je kwa wanandoa ni lazima kufanya mapenzi kila siku?
Kuna baadhi ya wanawake hawapendi kufanya mapenzi kila siku lakini wanaume wanataka na...
Jamani mtaniua mimi nipo buzy natengeneza tamthilia sasa mnanifuata inbox!
Sasamekuja niwaonye wanaume wote hwa humu na wengine wote kuwa mnapokutana kimwili na dada zetu mkimaliza muwaachie...
Vyuma vimekaza sikuhizi wanaume wanafungia handbag kutafuta simu kama ina credit aitumie. Wengine wanatafuta lotion kama ile ya mezani imekwisha anajua wife lazima atakuwa na lotion kwenye...
Habari wadau habari za wikiendi.Tupeane mbinu sahihi za kisasi kwa ofisa anaetumia cheo chake kuishi na mke wa mtu bila woga.
Rafiki yangu kanipa kisa cha huzuni baada ya ofisa kutoka na mkewe...
Humu kwema?
Eti nipo kazini katuma sms wahi kurud ukamchukue mtoto shule mm nimeshaondoka nyumbani...
Je huyu kaaga au katoroka?!
Nimefika home hayupo kweli
Babu yangu alikuwa na wake watatu kupitia dini yetu ya asili inayoruhusu wake kulingana na uwezo wa kipesa na kingono, nikiwa mdogo nilibahatika kuwaona maisha yao, babu yangu alikuwa ana ukwasi...
Hii ni section ya vijana tunaojua tumia fursa kupata papuchi tusione tu loophole tushazama!!
Mimi binafsi fursa hazinipiti aseee nikishaona weakness nateleza tu!!!
Mosi: kuna Dada alikuwa...
Nielekee kwenye Mada,
Huwa inatokea mara kadhaa kukuta miaka kadhaa baadae mtu anakuja
kugundua kuwa mtoto ambaye amezaliwa ndani ya ndoa yake si wake.
Miaka fulani nikiwa Newala na kwa wale...
Tuna mwezi sasa katika mahusiano, japo ni mbabe but huwa namchukulia pouwa kutokana na nature ya kazi yake, ni mjeda. Tunaishi mikoa tofauti ye dar me nipo mkoani. Anapenda kila wakati...