Dada wa kazi mzuri sana maana amekuaga kwa kukutaarifu. Wala hajatoroka kwa hiyo makosa ni yakwako mwenyewe yawezekana ulishindwa kuishi nae vizurihumu kwema?eti nipo kazini katuma sms wahi kurud ukamchukue mtoto shule mm nimeshaondoka nyumbani...je huyu kaaga au katoroka?!nimefka home hayupo kweli
ok asante..ila nimegundua yupo kwa mwanaume kumbe...alirubuniwa tuDada wa kazi mzuri sana maana amekuaga kwa kukutaarifu. Wala hajatoroka kwa hiyo makosa ni yakwako mwenyewe yawezekana ulishindwa kuishi nae vizuri
Bika shaka atakuwa dereva bodaboda. Maana hawa mabodaboda sio mchezo.ok asante..ila nimegundua yupo kwa mwanaume kumbe...alirubuniwa tu
okey asante kwa ushaur mm n keHuyo ameaga Mkuu, vinginevyo ungerudi home mtoto wa shule bado yuko shule. Lakini sasa hivi kakuaga na kukushauri ukamchukue mtoto! Kwani mama ameenda wapi Mkuu mpaka binti wa kazi akutaarifu wewe?
mmmmh nasikia wanajua kutega waume za watu hahahaha....haswaaaaaa umejuaje boss n bodaboda kweli hahahaBika shaka atakuwa dereva bodaboda. Maana hawa mabodaboda sio mchezo.
Ila nakushauri chukuwa wadada wa kazi kutokea tanga wana nidhamu sana.
hahaha bora hakuwaAngekuw wa kanda ya kati ungejuta, huwa hawaagi.
Mwanaume kama anajiheshimu hata ategwe vipi hawezi kutegeka.mmmmh nasikia wanajua kutega waume za watu hahahaha....haswaaaaaa umejuaje boss n bodaboda kweli hahaha
mmh ila unachosema n kwel n mtu tuMwanaume kama anajiheshimu hata ategwe vipi hawezi kutegeka.
Shukuru sana cause this is more than serious.hahaha bora hakuwa
hahaAtakuwa asha ngedere.
kwa hiyo ulidhani anakutania? Ndiyo kaaga kwani ulitaka akupigie magoti kama unamnyanyasa?Humu kwema?
Eti nipo kazini katuma sms wahi kurud ukamchukue mtoto shule mm nimeshaondoka nyumbani...
Je huyu kaaga au katoroka?!
Nimefika home hayupo kweli
Mkuu nshauri kidogo, hawana Uvivu na mapenz wacje beba mimba wakiwa kazini.Bika shaka atakuwa dereva bodaboda. Maana hawa mabodaboda sio mchezo.
Ila nakushauri chukuwa wadada wa kazi kutokea tanga wana nidhamu sana.
kidogooo waheheMkuu nshauri kidogo, hawana Uvivu na mapenz wacje beba mimba wakiwa kazini.
NB: Nina jiran anahtaj sana msaidiz WA kazi.kankpgia simu nimshauri na mm nko mbali licha ya kutojuwa ,WA kabila gani wapo FAIR
Asante boss..nilickia na wadada waliozaa(single mothers) wapo Royal sana kazin,nackia munaweza ishi ka ndugu?kidogooo wahehe